wakuu napita tuu.Wapendwa wanaJF, Mara nyingi nimewasikia watu wakisema "BINAMU NYAMA YA HAMU". Je kuna ukweli hapo???
Duh! Wapo wanaoruhusu kubanjuana mtu na binamu yake tena wengine hadi wanaoana! Sijui ndo hawataki ukoo uende mbali.........mmmh!
Na wewe unaendeleza hilo wakati ushaona hatari iliyopo kwa mkeo
Kwa nini usimwambie ukweli na kumjulisha hilo analotaka halitotokea. Una mke na familia na bado unaintertain mambo kama haya. Au na wewe unampenda nini ndo maana umeacha hayo yaendelee
Ni binti nimekaa nae tangu alipo maliza std7 kasoma sec kwangu,nami ndo nimemlipia,hawezi kula,kulala bila kuniona,hadi ikaleta bifu kwa wife na kaondoka,juzi kaendaa home baada ya kumaliza fm4 hakuweza kukaa kaleta noma anasema siwezi ishi mbali na kaka,kape wa nauli na uncle ili aje tu hadi shangazi-mke wa uncle ananitania mkwe.nisaidieni nifanye nini.na hapa anakuja nampeleka computer course