Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Wakati huo mnataka wake zenu wazalishe na manesi na madaktari wa kike,wakati huo huo mnataka wanawake wote wawe mama wa nyumbani[emoji28],ila uislamu ni zaidi ya ugonjwa wa akili.
huyo alookwambia uislamu unataka wanawake wabaki nyumbani tu . amekudanganya ni wale waislamu wasio ujua uislamu. ni waislamu majina. uislam unasema ni faradhi kwa muislamu wa kike na wa kiume kuitafta elimu
 
Wewe unaijua dini kuliko islamic states kama saudia,iran,afgan etc. We utakua muislam wa mchongo.
 
Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?
Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike 😃

Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu

Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life

Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Inachotakiwa nyinyi fanyeni yenu kazini, msisikie la mtu wala msichunguze fulani anasema nini kwako au anafanya nini kwako.

Kama ni Waislam, hakikisha kila unapoenda kazini unakuwa kwenye udhu wako, uchunge kauli zako, uvae kwa kujistiri, uwache kuwa na marafiki wa karibu kazin. Sala zako zisikupite kw wakati.
 
Asante FaizaFoxy
Muhimu kufanya kilichokupeleka kazini
 
Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?

Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Penye ridhiki hapakosi chuki
 
Ujanani nakumbuka nishawahi kuacha kazi kisa kusakamwa, kufanyiwa fitna na kuwekewa mitego... ila nidhamu ilinilinda sijawahi kugombana na mtu.

Fanya ibada sana! Fanya kazi kwa bidii! Heshimiana na kila mtu! Tanguliza nidhamu na jifanye mjinga, acha mazoea na usiweke urafiki mpaka kuwapa fursa ya kujua undani wako.

Muda wa kazi ukiisha ondoka! Kesho wahi fanya yaayokuhusu kamilisha.

Mengine waachie wao.

KUWA NA SUBRA!
[emoji2956][emoji2956]
 
Wewe unaijua dini kuliko islamic states kama saudia,iran,afgan etc. We utakua muislam wa mchongo.
Kwanza ni nini maana ya "Islamic States"? Au mnajiandikia tu bila kuelewa maana ya unachokiandika?

Hizo ulizotaja zote siyo "states" ni "Countries".
 
Wewe unaujuwa Uislam kuliko Muislam? Labda iwe umeolewa na Muislam.
 
nakumbuka nishawahi kuacha kazi kisa kusakamwa, kufanyiwa fitna na kuwekewa mitego... ila nidhamu ilinilinda sijawahi kugombana na mtu.

Fanya ibada sana! Fanya kazi kwa bidii! Heshimiana na kila mtu! Tanguliza nidhamu na jifanye mjinga, acha mazoea na usiweke urafiki mpaka kuwapa fursa ya kujua undani wako.

Muda wa kazi ukiisha ondoka! Kesho wahi fanya yaayokuhusu kamilisha.

Mengine waachie wao.

KUWA NA SUBRA!
 
Hii ni shida

Kuna jamaa yangu kwenye kitengo chake yupo me 1 na ke 5, mwanzo walikuwa me 2 ila mwenzie uzalendo ulimshinda akaachia ngazi.
Hivyo na jamaa nae anafanya michakato ya kusepa.
Maana anakwambia hana amani na kazi kabisa, sababu ya hao mademu.
Ni kweli bora KE mmoja anaweza fanyakazi na ME hata 10 na aka-enjoy kazi ila sio KInyume chake.
 
Yalinikuta....mama mmoja kazini analazimisha hela watu tuchange ili aende Bagamoyo kumroga boss.
Mie nilikataa..ikawa ni vita mbaya sana.
Hata hivyo nilikuja kupata story kwamba kule Bagamoyo walienda na mbuzi..mganga akawaambia huyu boss yeye alichinja ngamia kwa hiyo mbuzi hatoshi.
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti hapa ofisini na wafanyakazi wenzangu wamebaki kunishangaa. Duniani Kuna mambo !
 
Wanawake ni ovyo sana huku makazini hasa halmashauri, maneno mengi umbeya, figisu fitina, kazi kupiga hamna, kila siku ni excuses za kwenda kulea watoto nyumbani, naomba mungu nihepushwe kufanya kazi na manamake yana tabu sana
Wanawake ni ovyo sana huku makazini hasa halmashauri, maneno mengi umbeya, figisu fitina, kazi kupiga hamna, kila siku ni excuses za kwenda kulea watoto nyumbani, naomba mungu nihepushwe kufanya kazi na manamake yana tabu s

Wanawake ni ovyo sana huku makazini hasa halmashauri, maneno mengi umbeya, figisu fitina, kazi kupiga hamna, kila siku ni excuses za kwenda kulea watoto nyumbani, naomba mungu nihepushwe kufanya kazi na manamake yana tabu sana.
Kuna Halmashauri moja Mkoa wa Dodoma staff wanalalamika kila siku juu ya Ushirikina na majungu yaani utawahurumia, mbaya zaidi M/K Halmashauri na MB wa jimbo hilo ndo magwiji wa majungu na ushirikina.
 
Back
Top Bottom