Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,054
- 1,797
Ww ndio mgonjwa wa akili, kabla ya kuwepo hizi hospitali wazazi walikuwa wakizalishwa vipi?Wakati huo mnataka wake zenu wazalishe na manesi na madaktari wa kike,wakati huo huo mnataka wanawake wote wawe mama wa nyumbani[emoji28],ila uislamu ni zaidi ya ugonjwa wa akili.
Na hata hivyo uislamu haupigi vita elimu ya secular ila tu mipaka ya dini izingatiwe.
Sio kama ww uliyezoea kuwashika shika wagalatia wenzio makalio kwa kisingizio cha kazi..
Hata kwa wakati wa Mtume kulikuwa na wakunga tena wa kike na kizazi kiliendelea mbona haukuwa mwisho wa binaadamu.. Usiendeshwe na mihemko tu kwa kutusi dini na imani ya watu kama vile unavyochukia kutusiwa imani yako au mzazi wako.