Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Lakini naona mengi yanayoandikwa humu ni very controversial na yanayotokea mtaani. Au humu JF tuko Mars??..sijajuašŸ˜….
√Mbona naona watu kutoka kazini pamoja, kugombea daladala au mmoja kumsogeza mwenzake kwa gari yake mpaka kwenye kituo cha karibu na kwake. (This means kuna conversation hufanyika)

√Mbona tunaona workers kutoka kwenda kula lunch na hata dinner dates pamoja.

√Mbona ninaona wanaume hasa kwenda kukaa kwenye bia na nyamachoma iwe ni weekdays kuloosen up ama weekends pamoja. Tena others wanakuaga na sare za ofisini kabisa.

√Mbona tunaona wanawake kuwa na Saccos sijui vicoba katika ofisi flani flani watu wataacha kujuana kiundani?

√Mbona ninaona watu kufanyiana maparty na kuwa close hasa jinsia tofauti, mtu zinakulana humo, no discipline or what.

Halafu wanawake tumelaumiwa na si uongo ni kweli, lakin kwa records zilizomo ubatili maofisini unafanywa zaidi na wanaume. Wanaume siku hizi mmekua sio poa, roho kiwi zimewajaa pia wengi wenu tu. Mfano halisi tafuta mafamous chawa hapa tanzania....ni jinsia gani wale??? I mean no malice to anybody...ni mtazamo tu!!
 
Kazini hasa watanzania tuna roho mbaya sana mimi yalinikuta makubwa zaidi yako mkuu sema kwasababu walikuwepo wafanyakazi kutoka nje ya nchi wakaokoa jahazi japo walikuja kutafuta mbinu nyingine wakatimiza adhima yao.
Pole sana ndugu yangu... machoni kama watu....

Dunia hii ..
 
Kuajiriwa ni laana kubwa wazazi wangu hawakuipitia laana hiyo na siwezi ipitia na wanangu hawawezi ipitia. Namuomba sana Mungu wangu.
Ogopa sana kitu azulumiwe mtu ndio ww upate, unafanya kazi kwa kumtegemea mtu ni laana kama laana zingine.
Wewe nawe ujinga huo.....

Kwa kuwa unaungaunga kibiashara?![emoji44]

Siku ikiwa kubwa haitohitaji wafanyakazi ?!!!!

Hata mama Samia amejiriwa....
 
Matusi ya nini sasa mkuu?

M umeona nimekashifu dini ya mtu

Mbona lililopo kwenye mada husika hujaliongelea?
Umeona sasa tunatukanwa Imani yetu kwa sababu yako.....
Kulikuwa na haja gani kuitaja DINI katika masuala mtambuka ya kijamii ?!!

Kwani hao wanawake wakikaa majumbani hawana fitnah na husda ?!!! [emoji44][emoji44]

Are you misogynistic??!?
 
Pambana uhame, Kota wanga wengi....wanafuatilia kila nyayo, Yani wanahesabu hadi unaoga mara ngapi....maisha ya kikuda mno, Hama.

Ila wakati unajipanga kuhama, Kaya mazoea ya baada ya Kazi, mkitoka ofisini nifanye hamjuani na yoyote....itakusaidia.
Maisha ya kota ni ya hovyo sana mkuu....acha tu....
 
Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?

Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Mkuu punguzeni makasiriko
 
Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike 😃

Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu

Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
Mkuu mnaongea Kwa uchungu sanaa
 
Back
Top Bottom