Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Matusi ya nini sasa mkuu?

M umeona nimekashifu dini ya mtu

Mbona lililopo kwenye mada husika hujaliongelea?

Mkuu tumieni akili acheni kuendeshwa na mihemuko ya dini za miaka zaidi ya 1000 iliyopita wakati huo watu wakiishi kama hayawani,this is 21century the civilized world,wacheni wanawake wasome wafanye kazi na biashara acheni kuua vipaji na maarifa kisa undezi wa dini.
 
Pambana uhame, Kota wanga wengi....wanafuatilia kila nyayo, Yani wanahesabu hadi unaoga mara ngapi....maisha ya kikuda mno, Hama.

Ila wakati unajipanga kuhama, Kata mazoea ya baada ya Kazi, mkitoka ofisini jifanye hamjuani na yoyote....itakusaidia.
Yaan uko sahihi kabisa maisha ya kota sio kabisa
 
Katika ajira siku zote, ingia muda unaopaswa kuingia, fanya unachopaswa kufanya kwa weledi mkuu bila kufanya ushindani na wengine. Acha utendaji wako uongee wenyewe.

Chochote kisichokuhusu na kisicho na athari yeyote kwako ama ajira yako basi kipuuze kama vile hukioni.

Boss sio rafiki yako na haijalishi kwa kiasi gani anaonyesha kukupenda, ni kwamba anapenda nguvu yako na utendaji wako kwa wakati husika, akikosa matumizi na wewe atakuondosha bila kufikiria mara mbili.

Muda wa kuondoka ukifika fanya kama vile umefukuzwa, ni kwamba toka nduki uende nyumbani. Kazini sio kijiwe cha soga, usiweke mazoea sana.

Wafanyakazi wenzio sio rafiki zako. Ujamaa wenu unaishia pale muda wenu wa kazi unapoishia. Hawapaswi kujua zaidi ya kile chenye mahusiano na kazi yenu.

Kubwa na la muhimu zaidi, hakuna anaekupenda kazini hivyo usitarajie kuwa kuna anaethamini uwepo wako hapo. Kila rafiki wa kazini ni snitch mtarajiwa, ikitokea akapata fursa ya kukusnitch atakuuza bila jitimai ya nafsi.
✊✊✊✊Huyu ndio Mimi kabisa Kwenye Eneo langu la kazi
 
Umeona sasa tunatukanwa Imani yetu kwa sababu yako.....
Kulikuwa na haja gani kuitaja DINI katika masuala mtambuka ya kijamii ?!!

Kwani hao wanawake wakikaa majumbani hawana fitnah na husda ?!!! [emoji44][emoji44]

Are you misogynistic??!?
Achaga ujinga na ww

Kwani m nimemtukana ata na yy anitukane?
 
Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike [emoji2]

Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu

Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
Tatizo liko hapo kwenye last paragraph. Tafsiri Yao unajikuta nani usiwe kama wao
 
Short tale..
Alisoma shule za seminari kuanzia kidato cha 1 mpk cha 4. Akapata mfadhili wa kumsomesha kidato cha 5&6. Akafaulu vizuri. Akapata scholarship nchi za nje. Akaweza kupata bsc. na masters. Alikua kijana mwenye haiba nzuri, mwerevu, mpole na mcha Mungu. Kiongozi flani (kwa sasa he is late) akaunyaka wasifu wake. Akamrudisha nchini na kumpa kitengo katika balozi za nchi zilizoko kusini.

Alivyoingia pale, wahafidhina wakamuona ni tishio. Aliendelea kumcha Mungu. Behind the scene kuna njama zikasukwa. Akapewa kesi ya human trafficking. Mpk kuja kuprove sio kweli, miaka imepita shwaa. Hakuweza kupata ajira tena. His character was assasinated. Akarudi mbwinde kuishi. Akaamua kulima zake mahindi madongoni. His career slapped him hard.

10 years later:
Paroko mmoja katika shirika la white fathers anatembelea mbwinde. Akasikia story yake. Ashukuriwe Mungu kuna mchongo wa maana na huyu victim ni fit candidate. Akatafutwa, fanyiwa counselling, pigishwa interview, akafaulu. Sasa aanze kujiandaa kwenda kureport nchi za mbali....guess what.......
Akapata ajali ya bodaboda, akiwa na passport yake mkononi. He is no more!!😞😞

Kuna msemo unasema keep your friends close and your enemies closer. Naona hapa ulibackfire kinoma....
MUNGU atutetee katika sehemu zetu za kujipatia kipato. Kuna vita sana ktk kuupata mkate wa kila siku..
Neema ya Kristo ikae nawe...
Upo sahihi! Umeajiliwa na masikin kijana wa watu unajituma! Lakini vita vingi vya kiroho unaandamwa hadi uje ujinasue ni kudra za Mwenyezi Mungu tu! Inshort Moyo wangu ulishakataa kuajiliwa tena
Mambo ya kuajiliwa siyataki tena! Bora upate mia mbili zako kuliko majungu, fitna, kurogwa..e.t.c
Na walimwengu hawana huruma licha ya usomi wako, kipaji chako wanakutoa tu duniani kwa namna mbali mbali.
Eee Mwenyezi Mungu Tusaidie.!
 
Ila kuna wanaume wengine nao ni kama wanawake tu yaani kuna mmoja niko naye job hatari sana yaan anafatiliana hatari hadi msosi ninaokula hom atahakikisha anajua na anafurahia kila mtu awe na life gumu isipokuwa yeye tu
Hizo ni hulka za binadamu na watu wamezaliwa hivyo,huwezi kuwabadikisha na Kwa taarifa Yako tuu watu wa hivyo ndio Mabosi wanawapenda maana wanawapa taarifa zenu nyie mnapowasema vibaya wakubwa.

Wewe unadhani Kwa nini Kuna Maafisa usalama,vopenyo nk? Ni watu wenye hulka hizo huwezi lazimisha Kwa sababu ni kipajo.

Cha muhimu lazima ujue jinsi ya kuishi nao maana ni haiepukiki ndio ilivyo kwenye maisha na wanakwambia maisha bila fitina na unafiki hayaendi.
 
Kabisa....tulio nje ya mji mjumbe kaweka mkutano ili tutengeneze barabara..wananzengo wanapinga wanasema hilo ni jukumu la wenye magari🤐
Sisi tunaoishi nje ya mji tuna uzoefu wa kutosha juu ya watu wenye wivu wa maisha sasa ole wako upakane na majirani wajinga aisee watakusumbua Hadi utajuta
 
Kuna dada mmoja alikuwa anafanya almashauri Fulani, alikuwa anachukiwa na mwenzake, siku hiyo akamwambia na 'utakufa unuke mavi'...

Siku si nyingi dada yule akaingia chooni kujisaidia, akafia palepale chooni...

Nasikia walioenda kuzika maiti inanuka mavi...
 
Duuuh aisee ni wapi huko, na huyo mfu ni yule aliyekuwa anasimangwa???
 
Katika ajira siku zote, ingia muda unaopaswa kuingia, fanya unachopaswa kufanya kwa weledi mkuu bila kufanya ushindani na wengine. Acha utendaji wako uongee wenyewe.

Chochote kisichokuhusu na kisicho na athari yeyote kwako ama ajira yako basi kipuuze kama vile hukioni.

Boss sio rafiki yako na haijalishi kwa kiasi gani anaonyesha kukupenda, ni kwamba anapenda nguvu yako na utendaji wako kwa wakati husika, akikosa matumizi na wewe atakuondosha bila kufikiria mara mbili.

Muda wa kuondoka ukifika fanya kama vile umefukuzwa, ni kwamba toka nduki uende nyumbani. Kazini sio kijiwe cha soga, usiweke mazoea sana.

Wafanyakazi wenzio sio rafiki zako. Ujamaa wenu unaishia pale muda wenu wa kazi unapoishia. Hawapaswi kujua zaidi ya kile chenye mahusiano na kazi yenu.

Kubwa na la muhimu zaidi, hakuna anaekupenda kazini hivyo usitarajie kuwa kuna anaethamini uwepo wako hapo. Kila rafiki wa kazini ni snitch mtarajiwa, ikitokea akapata fursa ya kukusnitch atakuuza bila jitimai ya nafsi.
Kuleni chuma hikoo...
 
Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike [emoji2]

Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu

Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life

Tatizo Mabosi Waliooa wanapokuomba Papuchi unawanyima…[emoji30] Sasa Lazima wakunyine Fursa,Na Mwanaume Yeyote atakaekuwa na wewe haijalishi hajaoa au ameoa lazima nae afanyiwe figisu ikibidi hata kuondolewa Kazini au wote wawili Over[emoji1787][emoji16]
 
Sidhani kama umesoma nilichoandika
 
Hii ni shida

Kuna jamaa yangu kwenye kitengo chake yupo me 1 na ke 5, mwanzo walikuwa me 2 ila mwenzie uzalendo ulimshinda akaachia ngazi.
Hivyo na jamaa nae anafanya michakato ya kusepa.
Maana anakwambia hana amani na kazi kabisa, sababu ya hao mademu.
Mademu wanamnyanyasa huyo mshikaji Msonjo ?
 
Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?

Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Siyo Binadam wote. Sisemi kuwa kwengine hayapo, lakini Tanzania yamezidi.

Watanzania 90% jadi yao ni wanga na wachawi. Mila ya kuamini uchawi na kurogana ndiyo inayorudisha nyuma maendeleo Tanzania.

Mtu anaamini hapati cheo mpaka aroge.
Mtu anaamini hatajiriki mpaka aroge.
Mtu anaamini hapati kazi mpaka aroge.
Mtu anaamini haolewi mpaka aroge.
Mtu anaamini haowi mpaka aroge.
Mtu anaamini hapendwi mpaka aroge.
Mtu anaamini hasikilizwi mpaka aroge.
Mtu anaamini hashindi mpira mpaka aroge.
Mgombea ubunge anaamini haupati mpaka aroge.
Mgombea udiwani anaamini haupati mpaka aroge.
Utaongezea mengine wewe.

Kwa mambo kama hayo unafikiri kuna maendeleo kweli? Tusahau.
 
Back
Top Bottom