Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Wanawake ubinafsi unawasumbua Sana ukiwatongoza shida usipowatongoza wakioa upo happy na hukosi kulipa bills zako Basi wanaanza ku-hate bila sababu.

Hawa Jamaa usithubutu kuongea nao habari yoyote senstive stay away with them.

Wape salamu tu inatosha nothing else.

Then nyie wanaume ndo mnasababisha yatokee yote haya kuwashobokea Hawa KE tena Sehemu za kutafta ugali so usikubali
Bonge la ujumbe....
 
Ubaya siasani huwa sipo...na hata nilichokujibu hapo juu sijajibu direct kumuhusisha rais aliyopo madarakani

Nimecheka!mimi ni mwanamke halafu ni mgeni pia wa wanawake
Ndio maana hamjielewi mlio wengi.Mimi namuelewa Samia tuu na Huwa anasema Hawa wanagombana nimewatenganisha so anawafahamu vizuri 😂😂
 
Kisa ni kijana ni kwanini boss alinipenda sana kufikia chumba cha ofisi yangu kuniwekea "AC" kuukuu kabisa na yenye kutoa maji [emoji1787]

Wazee niliowakuta wengi walikuwa na DIPLOMA....

Mizengwe ikaanza....

Ni kwanini nawahi sana ofisini na kuchelewa kutoka....

Boss akawa anapewa maneno kuwa ninavuta BHANGE kwa kuwa midomo yangu ni MYEUSI [emoji1787][emoji1787]

Boss akawakatalia na kusema ajuacho ni kuwa "nakula fegi"....

Alipoonekana kisiki....meneja na HR ambao ni KE wakapitia kwa mkewe....mke ni kabila la hao wawili....

Nilikuja kupewa barua ya kuachishwa kazi eti kigezo ni kuwa mshahara wangu ni mkubwa wanashindwa kunilipa kwa kudorora uzalishaji [emoji1787][emoji1787]

Iliniumiza sana....

Baada ya miezi 3 nikapigiwa simu na waliokuwa wafanyakazi wenzangu kuwa wanadai mimi ni mchawi kwani HR na Meneja wako ICU baada ya ajali ya gari.....wiki 2 baadaye "wakaikimbia dunia"....

Mpaka leo huwa wananisumbua niwaoneshe mganga wangu [emoji1787]

Ninachokumbuka nilimshtakia tu Mungu kwa kuwakabidhi kwake haswa baada ya kuikosa kazi ya mshahara wa karibia milioni mbili na kupata kiajira cha laki 4 [emoji45]

Dunia hii....
 
Maisha ya watu kuchukia watu sio kazini hata kwenye makazi pia ni hivyo hivyo wanapenda kuwaona watu wasiwe na mafanikio ndio marafiki zao mtu akipata mafanikio kidogo tuu zitaanza figisu na maneno maneno...
[emoji2956][emoji2956]
 
Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike 😃

Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu

Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
Ila kuna wanaume wengine nao ni kama wanawake tu yaani kuna mmoja niko naye job hatari sana yaan anafatiliana hatari hadi msosi ninaokula hom atahakikisha anajua na anafurahia kila mtu awe na life gumu isipokuwa yeye tu
 
Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?

Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Ww fanya mambo yako ukitaka ujue walikua wakikusema nn maan yake na ww unapenda umbea.
Mtu akikuletea umbea muulize yeye alichangia nin?
 
Kisa ni kijana ni kwanini boss alinipenda sana kufikia chumba cha ofisi yangu kuniwekea "AC" kuukuu kabisa na yenye kutoa maji [emoji1787]

Wazee niliowakuta wengi walikuwa na DIPLOMA....

Mizengwe ikaanza....

Ni kwanini nawahi sana ofisini na kuchelewa kutoka....

Boss akawa anapewa maneno kuwa ninavuta BHANGE kwa kuwa midomo yangu ni MYEUSI [emoji1787][emoji1787]

Boss akawakatalia na kusema ajuacho ni kuwa "nakula fegi"....

Alipoonekana kisiki....meneja na HR ambao ni KE wakapitia kwa mkewe....mke ni kabila la hao wawili....

Nilikuja kupewa barua ya kuachishwa kazi eti kigezo ni kuwa mshahara wangu ni mkubwa wanashindwa kunilipa kwa kudorora uzalishaji [emoji1787][emoji1787]

Iliniumiza sana....

Baada ya miezi 3 nikapigiwa simu na waliokuwa wafanyakazi wenzangu kuwa wanadai mimi ni mchawi kwani HR na Meneja wako ICU baada ya ajali ya gari.....wiki 2 baadaye "wakaikimbia dunia"....

Mpaka leo huwa wananisumbua niwaoneshe mganga wangu [emoji1787]

Ninachokumbuka nilimshtakia tu Mungu kwa kuwakabidhi kwake haswa baada ya kuikosa kazi ya mshahara wa karibia milioni mbili na kupata kiajira cha laki 4 [emoji45]

Dunia hii....
Kazini hasa watanzania tuna roho mbaya sana mimi yalinikuta makubwa zaidi yako mkuu sema kwasababu walikuwepo wafanyakazi kutoka nje ya nchi wakaokoa jahazi japo walikuja kutafuta mbinu nyingine wakatimiza adhima yao.
 
Ila tuseme ukweli tu japo wapo wanokataa

Ni hivi mwanamke ameumbwa kua ni mama wa Nyumbani tu ndo shughuli kubwa anayoiweza hii

Ona sasa watu wanavohangaika makazini kisa hawa Wanawake mnakua mna ubeza Uislamu ila hii ndo nature ya mwanamke ni kukaa nyumbani akalea familia

Wakati huo mnataka wake zenu wazalishe na manesi na madaktari wa kike,wakati huo huo mnataka wanawake wote wawe mama wa nyumbani[emoji28],ila uislamu ni zaidi ya ugonjwa wa akili.
 
Wakati huo mnataka wake zenu wazalishe na manesi na madaktari wa kike,wakati huo huo mnataka wanawake wote wawe mama wa nyumbani[emoji28],ila uislamu ni zaidi ya ugonjwa wa akili.
Matusi ya nini sasa mkuu?

M umeona nimekashifu dini ya mtu

Mbona lililopo kwenye mada husika hujaliongelea?
 
Wakati huo mnataka wake zenu wazalishe na manesi na madaktari wa kike,wakati huo huo mnataka wanawake wote wawe mama wa nyumbani[emoji28],ila uislamu ni zaidi ya ugonjwa wa akili.
Umeongoa ukweli japo watasema umekashifu dini ila ukiwaza nje ya box wavaa kobasi wanamatatizo. Sio siri umemjibu kama inavyotakiwa tukiweka hisia kali pembeni
 
Hatuwezi wote kujiajiri, weka akilini hilo. Diversification lazima iwepo, hata wazazi wako pengine walikua waajiriwa ndio wewe ukasomeshwa uko hapo ulipo.

Ni ngumu kuelewa hizi situations za makazini kama hujawahi pitia hayo mazingira. Kuna watu wana roho mbaya za ajabu wivu uliokithiri na kila aina ya ubaya kwa wengine. Kwenye kujiajiri hujawahi pitia hizi changamoto? Basi pengine na wewe bado ni amateur, kaa kwny game kwa muda.....utaelewa
Kuajiriwa ni laana kubwa wazazi wangu hawakuipitia laana hiyo na siwezi ipitia na wanangu hawawezi ipitia. Namuomba sana Mungu wangu.
Ogopa sana kitu azulumiwe mtu ndio ww upate, unafanya kazi kwa kumtegemea mtu ni laana kama laana zingine.
 
Back
Top Bottom