Binadamu hatupendani hasa makazini wengine tunafosi tu

Katika ajira siku zote, ingia muda unaopaswa kuingia, fanya unachopaswa kufanya kwa weledi mkuu, chochote kisichokuhusu na kiso na athari yeyote kipuuze kama vile hukioni. Muda wa kuondoka ukifika fanya kama vile umefukuzwa, ni kwamba toka nduki uende nyumbani.

Wafanyakazi wenzio sio rafiki zako. Ujamaa wenu unaishia pale muda wenu wa kazi unapoishia.

Kubwa na la muhimu zaidi, hakuna anaekupenda kazini hivyo usitarajie kuwa kuna anaethamini uwepo wako hapo. Kila rafiki wa kazini ni snitch wako ikitokea akapata fursa ya kukusnitch.
Mkuu tunafanya hivi siku zote ila unakuta mtu anakutengenezea mazingira..
 
Anaecheza na ajira yako basi huyo anacheza na maisha yako, ni adui yako. Deal nae kama adui vile.

All is fair in love and war. Ukipata chance ya kumdhibiti usifikirie mara mbili.

Ila kumbuka kazi inatafutwa ila sio uhai. Ukiona madhara ya chuki zao yanaweza kuathiri uhai wako basi jiepushe na shari kwa kutafute kwingine ndugu.

Afya yako ya akili ni muhimu kuliko ujira wa kazi. Usiruhusu wapumbavu wachache waharibu furaha yako.
Ukiona havivumiliki na huna njia ya kuvibadilisha basi ni wakati wa kubadilisha mazingira yako ndugu.
 
Bongee mojaa la ujumbee..ndo nayoyapitia saivi daah..I f u can't fight them just leave them......nafkiria kubadilisha mazingiraa..maisha yang ni muhim kuliko chochotee
 
Anaecheza na ajira yako basi huyo anacheza na maisha yako, ni adui yako. Deal nae kama adui vile.

All is fair in love and war. Ukipata chance ya kumdhibiti usifikirie mara mbili.

Ila kumbuka kazi inatafutwa ila sio uhai. Ukiona madhara ya chuki zao yanaweza kuathiri uhai wako basi jiepushe na shari kwa kutafute kwingine ndugu.

Afya yako ya akili ni muhimu kuliko ujira wa kazi. Usiruhusu wapumbavu wachache waharibu furaha yako.
Ukiona havivumiliki na huna njia ya kuvibadilisha basi ni wakati wa kubadilisha mazingira yako ndugu.
Shukrani mkuu
 
Katika ajira siku zote, ingia muda unaopaswa kuingia, fanya unachopaswa kufanya kwa weledi mkuu bila kufanya ushindani na wengine. Acha utendaji wako uongee wenyewe.

Chochote kisichokuhusu na kisicho na athari yeyote kwako ama ajira yako basi kipuuze kama vile hukioni.

Boss sio rafiki yako na haijalishi kwa kiasi gani anaonyesha kukupenda, ni kwamba anapenda nguvu yako na utendaji wako kwa wakati husika, akikosa matumizi na wewe atakuondosha bila kufikiria mara mbili.

Muda wa kuondoka ukifika fanya kama vile umefukuzwa, ni kwamba toka nduki uende nyumbani. Kazini sio kijiwe cha soga, usiweke mazoea sana.

Wafanyakazi wenzio sio rafiki zako. Ujamaa wenu unaishia pale muda wenu wa kazi unapoishia. Hawapaswi kujua zaidi ya kile chenye mahusiano na kazi yenu.

Kubwa na la muhimu zaidi, hakuna anaekupenda kazini hivyo usitarajie kuwa kuna anaethamini uwepo wako hapo. Kila rafiki wa kazini ni snitch wako ikitokea akapata fursa ya kukusnitch atakuuza bila jitimai ya nafsi.
Umeandika mambo mazuri tupu. Na itasaidia wote watakao isoma na kuitafakari na kuichukia kabsa
 
Hii ni shida

Kuna jamaa yangu kwenye kitengo chake yupo me 1 na ke 5, mwanzo walikuwa me 2 ila mwenzie uzalendo ulimshinda akaachia ngazi.
Hivyo na jamaa nae anafanya michakato ya kusepa.
Maana anakwambia hana amani na kazi kabisa, sababu ya hao mademu.
Leo nimewaza mengi sana mkuu
 
Mkiambiwa mjiajiri mnaona watu wajinga ukute umeajiriwa na mtu alie jiajiri. Ukiona kazi huwezi acha sitaki kuamini mtu anaejiheshimu asiefuatilia ya watu anaweza letewa figisu kama mwanaume kuwa na misimamo yako hutayumbishwa. Alafu unaandika kama wanaokuletea figisu wapo jf na kama wapo wataje mwaga nyongo
 
Mkuu ujakutana na situation wewe sure nakuambia omba usipitiwe na huu upuuzi
 
Back
Top Bottom