Sasa wanawake wafupi tumeingiaje hapo 🤣🤣🤣🤣Mtume muhammad saw alisema aliwakuta wananwake wengi motoni , kwakweli wanawake ni mtihani wanafki,wana chuki bila ya sababu, roho mbaya ,umbea , hasa hivi vifupi ndio shida sana hata kwenye ndoa zao
Sasa wanawake wafupi tumeingiaje hapo 🤣🤣🤣🤣Mtume muhammad saw alisema aliwakuta wananwake wengi motoni , kwakweli wanawake ni mtihani wanafki,wana chuki bila ya sababu, roho mbaya ,umbea , hasa hivi vifupi ndio shida sana hata kwenye ndoa zao
HahhaaaaaSasa wanawake wafupi tumeingiaje hapo 🤣🤣🤣🤣
Kuna tyme unawaza hivi hyu kwa hizi kunguni anazo nisaigia nikitimuliwa hapa yeye kipi kinaongezeka kake? Hakuna cha maana, sasa yote haya anafanya kwa nn hupati majibu.
Basi unabaki kujikalia kimya tu
Mtume muhammad saw alisema aliwakuta wananwake wengi motoni , kwakweli wanawake ni mtihani wanafki,wana chuki bila ya sababu, roho mbaya ,umbea , hasa hivi vifupi ndio shida sana hata kwenye ndoa zao
Wivu unaopelekea roho mbayaMdada anamwambia HOD eti panga ratiba wale wote wenye biashara zao washindwe kufanya hizo biashara. Yani hataki wenzie wawe na vyanzo vingine vya mapato, wivu tu.
Wana inferiority complex....Jinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike [emoji2]
Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu
Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
[emoji2956]Kwanza onesha kutojalii watachoka pili.
Kazini usipotaka uongelewe na wewe usiongelee mtu.
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]Do your work get salary go home
[emoji2956][emoji2956]Katika ajira siku zote, ingia muda unaopaswa kuingia, fanya unachopaswa kufanya kwa weledi mkuu bila kufanya ushindani na wengine. Acha utendaji wako uongee wenyewe.
Chochote kisichokuhusu na kisicho na athari yeyote kwako ama ajira yako basi kipuuze kama vile hukioni.
Boss sio rafiki yako na haijalishi kwa kiasi gani anaonyesha kukupenda, ni kwamba anapenda nguvu yako na utendaji wako kwa wakati husika, akikosa matumizi na wewe atakuondosha bila kufikiria mara mbili.
Muda wa kuondoka ukifika fanya kama vile umefukuzwa, ni kwamba toka nduki uende nyumbani. Kazini sio kijiwe cha soga, usiweke mazoea sana.
Wafanyakazi wenzio sio rafiki zako. Ujamaa wenu unaishia pale muda wenu wa kazi unapoishia. Hawapaswi kujua zaidi ya kile chenye mahusiano na kazi yenu.
Kubwa na la muhimu zaidi, hakuna anaekupenda kazini hivyo usitarajie kuwa kuna anaethamini uwepo wako hapo. Kila rafiki wa kazini ni snitch mtarajiwa, ikitokea akapata fursa ya kukusnitch atakuuza bila jitimai ya nafsi.
[emoji2956]Anaecheza na ajira yako basi huyo anacheza na maisha yako, ni adui yako. Deal nae kama adui vile.
All is fair in love and war. Ukipata chance ya kumdhibiti usifikirie mara mbili.
Ila kumbuka kazi inatafutwa ila sio uhai. Ukiona madhara ya chuki zao yanaweza kuathiri uhai wako basi jiepushe na shari kwa kutafute kwingine ndugu.
Afya yako ya akili ni muhimu kuliko ujira wa kazi. Usiruhusu wapumbavu wachache waharibu furaha yako.
Ukiona havivumiliki na huna njia ya kuvibadilisha basi ni wakati wa kubadilisha mazingira yako ndugu.
Zote haziwezi zikawa za kujiajiri.....Hizo kazi zenu za kuajiriwa mna shida sana
Hata Rais ameajiriwa....Mkiambiwa mjiajiri mnaona watu wajinga ukute umeajiriwa na mtu alie jiajiri. Ukiona kazi huwezi acha sitaki kuamini mtu anaejiheshimu asiefuatilia ya watu anaweza letewa figisu kama mwanaume kuwa na misimamo yako hutayumbishwa. Alafu unaandika kama wanaokuletea figisu wapo jf na kama wapo wataje mwaga nyongo
Sio makazini tuu sehemu yeyote yenye riziki hatutaki Fulani atuzidi.Haiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?
Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Wanawake mda wote mko kwenye Ligi kuanzia za urembo Hadi za mafanikio.Naelewa mkuu
Mtu hujawahi mkosea,na anatakiwa yeye aripoti kwako ila anavyokuja kuripoti ni kama mlishawahi kuibiana kitu 😃😃
Tuishi nao tu
Sasa wanawake Wana hicho kitobo ni ngumu kushindana nao hasa kama boss ni mwanaumeHii ni shida
Kuna jamaa yangu kwenye kitengo chake yupo me 1 na ke 5, mwanzo walikuwa me 2 ila mwenzie uzalendo ulimshinda akaachia ngazi.
Hivyo na jamaa nae anafanya michakato ya kusepa.
Maana anakwambia hana amani na kazi kabisa, sababu ya hao mademu.
Dunia hii....Short tale..
Alisoma shule za seminari kuanzia kidato cha 1 mpk cha 4. Akapata mfadhili wa kumsomesha kidato cha 5&6. Akafaulu vizuri. Akapata scholarship nchi za nje. Akaweza kupata bsc. na masters. Alikua kijana mwenye haiba nzuri, mwerevu, mpole na mcha Mungu. Kiongozi flani (kwa sasa he is late) akaunyaka wasifu wake. Akamrudisha nchini na kumpa kitengo katika balozi za nchi zilizoko kusini.
Alivyoingia pale, wahafidhina wakamuona ni tishio. Aliendelea kumcha Mungu. Behind the scene kuna njama zikasukwa. Akapewa kesi ya human trafficking. Mpk kuja kuprove sio kweli, miaka imepita shwaa. Hakuweza kupata ajira tena. His character was assasinated. Akarudi mbwinde kuishi. Akaamua kulima zake mahindi madongoni. His career slapped him hard.
10 years later:
Paroko mmoja katika shirika la white fathers anatembelea mbwinde. Akasikia story yake. Ashukuriwe Mungu kuna mchongo wa maana na huyu victim ni fit candidate. Akatafutwa, fanyiwa counselling, pigishwa interview, akafaulu. Sasa aanze kujiandaa kwenda kureport nchi za mbali....guess what.......
Akapata ajali ya bodaboda, akiwa na passport yake mkononi. He is no more!![emoji20][emoji20]
Kuna msemo unasema keep your friends close and your enemies closer. Naona hapa ulibackfire kinoma....
MUNGU atutetee katika sehemu zetu za kujipatia kipato. Kuna vita sana ktk kuupata mkate wa kila siku..
Neema ya Kristo ikae nawe...
Wanawake mda wote mko kwenye Ligi kuanzia za urembo Hadi za mafanikio.
Huoni mnavyomchukia Rais ,kwani kawafanyia nini? 😁😁
Kama yapi hayo ambayo yanatokea na kabla hayakuwahi kutokea.Rais hachukiwi kwa jinsia yake
Bali yanayotokea ndani ya uongozi wake