Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,659
- 176,111
Melinda kumbe kifaa hivi! Hata body imekaza sana! Wacha nijitose twitter huko nika slide DM!Bill & Melinda Gates
miaka 27 ya ndoa
mbona wamevumilia mengi sana
Leo nini hicho kikubwa kimewashinda?
wana watoto watatu wakubwa!
sasa Bill si atatakiwa wagawane mali hivyo Bill si atazidi kushuka chini kutoka namba 4 aliyopo?
Mnaoishi Marekani mbona ndoa nyingi za huko zina changamoto sana?
Alianza Jeff wa Amazon
Leo ni Bill Gates!!!
basi hata Jayz ni swala la muda tu na yeye!
Huku Africa tunasema mapenzi ya kweli hayapo kisa umasikini
Je hata hao ambao ni mabilionea sasa shida nini?
Mapenzi sio Pesa!!
Kuna kitu hapo ila sema tu hatujakigundua!
View attachment 1772585