Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates
miaka 27 ya ndoa
mbona wamevumilia mengi sana
Leo nini hicho kikubwa kimewashinda?
wana watoto watatu wakubwa!
sasa Bill si atatakiwa wagawane mali hivyo Bill si atazidi kushuka chini kutoka namba 4 aliyopo?
Mnaoishi Marekani mbona ndoa nyingi za huko zina changamoto sana?
Alianza Jeff wa Amazon
Leo ni Bill Gates!!!
basi hata Jayz ni swala la muda tu na yeye!
Huku Africa tunasema mapenzi ya kweli hayapo kisa umasikini
Je hata hao ambao ni mabilionea sasa shida nini?
Mapenzi sio Pesa!!
Kuna kitu hapo ila sema tu hatujakigundua!
IMG_6104.jpg
 
Divorce zingine shavu dodo unachukua kaserengeti boy unazunguka nako dunia nzima full bata (unless kulikuwa na pre-nuptials)

Sasa za huku kwetu aisee. Mtagawana hadi generational curses
Women got lots of expectations...wakat wao dont put nothing on table...nasemaje..karne hii tutawasainisha ma prenup had mnye
 
Back
Top Bottom