Bill & Melinda Gates watalikiana

Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini.
View attachment 1772582
View attachment 1772583

8A22E809-CA5F-4D0A-B574-87A823F0CC46.jpeg
 
Ukiyasoma maelezo yao utagundua kuwa wawili hao hawajaachana kwa uadui ikiwemo mwingine kumtendea ubaya mwingine zaidi ya kila mmoja kujihisi ametamani kuanza kuishi maisha yake akiwa nje ya mwamvuli wa ndoa yao which is not bad na kwaku manisha hilo bado wametuhakikishia kuwa wataendelea kushafanya yote waliyokuwa wakishirikiana kuyafanya kasoro tu eneo la kimahusia kila mmoja atakuwa na eneo lake , you never know wenda mzeebaba alivyokuja Bongo that time alionekana anakula maharage kule Chuga wenda akapatishiwa ngoma na mamito akajua qwiqwiqwiqwiiiii

Unajua hii sheria ya kanisa inayosema HADI KIFO KIWATENGANISHE iliwekwa kwa sababu kadhaa kadhaa tu ikiwemo kila mmoja afeel ile ownership na hasa inawafaa wa a
Africa zaidi maana kwa Africa mwanamke ni kama kakifaa flani hivi ambacho jamii inakichukulia kama kikiachwa kitakuwa kimepotezewa ubora wake wa kutakiwa na wengine kitu ambacho kwa ulaya ni tofauti kabisa .

By then kuhusu hilo lakutarikiana to me is not a big deal kilichonistua ni vile jamaa kuwa tajiri No nne wakati ndiyo ilikuwa ikisemekana jamaa ndiyo tajiri No 1 Duniani ,au mimi ndiyo nilikuwa sijaelewa wakuu ?

Hii ni fursa .

Mwenye No ya Melinda tafadhali naomba ani- PM pls

Mwanamke akishashika hela ndefu anakuwa haoni haja ya kuwa na mwanaume tena
 
Divorce zingine shavu dodo unachukua kaserengeti boy unazunguka nako dunia nzima full bata (unless kulikuwa na pre-nuptials)

Sasa za huku kwetu aisee. Mtagawana hadi generational curses 🤭🤭🤣🤣
Huwezi amini McKenzy Bezos mke wa jeff Bezos kashaolewa na science teacher wa shule ambayo wanafundisha wote na wanaye walisoma hapo!

Hii inaashiria nini?
 
Huyu anaemfanyia massage clinton ni nani?
Kuna scandal ya Jeffrey Epstein Huyu alikuwa billionaire kazi yake ni kuwa tafutia powerful men watoto under age .Watoto wakike walikuwa wanakamatwa na kupeleka kwenye Island ya mapenzi .List ya watu wenye pesa waliokuwa wanaenda huko Imetolewa .Bill gates ,Trump ,prince Andrew ,king wa Saudi Arabia .wa Jordan ,Bill Clinton na list ni kubwa .
 
Nani alisema Mapenzi ni hela?
Washamba wachache ndio wanahisi mapenzi ni hela tokana na njaa na umaskini tu! Atawaza kupata iphone, taking flights and shopping ila akipata vyote akazoea anagundua kuwa kumbe there is more than that!

Kimsingi penye hela ndio watu huona ubatili kumbe mapenzi hayana maana yeyote bila furaha! Unaweza ukawa na mapesa yote duniani ila hufurahii mapenzi inakuwa sawa na bure tu!
 
Kuna scandal ya Jeffrey Epstein Huyu alikuwa billionaire kazi yake ni kuwa tafutia powerful men watoto under age .Watoto wakike walikuwa wanakamatwa na kupeleka kwenye Island ya mapenzi .List ya watu wenye pesa waliokuwa wanaenda huko Imetolewa .Bill gates ,Trump ,prince Andrew ,king wa Saudi Arabia .wa Jordan ,Bill Clinton na list ni kubwa .
Hawa mabilionea walikuwa wanakula std 7
 
Hivi wanawake wanataka nn kweny mahusiano pesa hapana ,kibamia hapana, tàngo hapana, six pack hapana mara anamkataa mume anakimbizana na boda au haouse boy haya na wanaume nao na beki 3 mta huko barmaid dada poa nimehoka naona tuanze majaribio yakuishi single single tu maana yajayo yanafurasha
Ni tabu, kazalishwa watoto 3, bado haitoshi, mahela? Haitoshi, watasema upweke, watatunga kila aina ya kukosekana kitu kwenye ndoa ili msambarishane, ni shida kwa kweli...
 
Back
Top Bottom