Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill gates alikuwa na mapenzi na watoto wadogo .Jeffrey Epstein case is getting worse .List ni kubwa Bill Clinton ,trump ,prince Andrew na prince of Saudi nakadhalika
Ukisema watoto wadogo kidogo kuna ukakasi, au ulitaka kumaanisha vimada? Maana kuna wenye kesi za wanaopenda kufanya mapenzi na watoto walio na umri mdogo, kama hao kina Epstein na Prince Andrew, na wanaopenda vimada kina Clinton n.k.
 
Wanawake wa matajir wanaona ni njia ya kupiga hella
Yule mke wa Jeff bezoz kaolewa sahv
 
Kwani melinda na bill ni Mungu wasiachane
Kuachana sio sifa njema mkuu, japo kuna mazingira ambayo mkifikia kuachana inakua muhimu kwa ustawi na usalama wa familia
Na huko kuachana kuwe kuna na sababu za msingi kiimani na kijamii
 
FYI: This is CLEARLY & OBVIOUSLY the devil's plan to destroy marriage, family, and eventually, society. It is easy to accept the existence of God and his preeminence over our lives when partners respect the sacred institution called MARRIAGE & FAMILY.

CC: mama D

Sisi tunamtafuta Mungu kupitia dini na madhehebu yetu na Mungu anatutafuta sisi kupitia matendo yetu...... Kwenye kutafutana huku kila kitu kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho, ile roho unayoipa nafasi kwenye maisha yako ndio inayoshikilia hatma yako ila Mungu akikutafuta atakupata tuu!

Kwa hili natamani iwe kwamba ni Mungu anaitafuta familia na wafuasi wa Bill na Melinda ili kuiokoa dunia.
Vinginevyo wacha role model wangu kwenye maisha abaki kuwa baba na mama yangu maana nawaona wale wafuasi wa Billgate na Melinda wanakoenda kuangukia sasa
 
Hivi wanawake wanataka nn kweny mahusiano pesa hapana ,kibamia hapana, tàngo hapana, six pack hapana mara anamkataa mume anakimbizana na boda au haouse boy haya na wanaume nao na beki 3 mta huko barmaid dada poa nimehoka naona tuanze majaribio yakuishi single single tu maana yajayo yanafurasha
Ndani ya hizi ndoa kuna mengi mnooo, tungeweza kuyajua ya ndani tungeonea mengi na tofauti zaidi
Usishangae hii ikawa ni product au strategy mpya ya biashara ndani ya biashara zao
 
Mwenye connection na huyo maza anipe...bado ni mrembo ananifaa naweza tokea hapo
 
But on a serious note, if Bill has a hand in The whole Covid-19 set-up then Melissa must have been in disagreement and opted out of the marriage.

He has raised eyebrows by his input on the Virus and been very vocal regarding it's progress, control vaccines and has recently stated that towards the end of 2022 the virus will have ceased to have the impacts it now has.
Who is mellisa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
1620102697730.png

 
Back
Top Bottom