Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Mshaambiwa watu wa arusha na mwiigulllu nccheemba msipoichagua cccm mtakufa haya sasa,chagueni chama tawala msife shauri yenu,baada ya mabilionea kwisha tunafata mamilionea wote kisha malakionea wote
 
Hivi Arusha kuna mabilionea wangapi?

Kila mtu analalamika maisha magumu, lakini kila siku tunasikia kuna mabilionea. Hawa mabilionea pesa zao ziko wapi? au wanaweka chini ya uvungu?


mkuu mi nikisema Arusha kumejaa washamba natukanwa...

Arusha ukimiliki ka hoteli tu! wanakuita bilionea......:disapointed:
 
Si kila tajiri hutaka ajulikane. Na tafsiri ya bilionea ni moja tu: mtu mwenye asset zenye thamani ya at least one billion (in any currency) ni bilionea.
Watu mnaotegemea Forbes wakuambieni mabilionea toka nchi ambazo informal economy ndiyo inayo-dominate hamjui mnachokisema. Kuna Wamasai wana ng'ombe 10,000, tuseme hawa si milionea/billionea? Scatter, unamfahamu au ulishawahi kumsikia mmiliki wa Soft-Tech Consultants? Ni billionea au...?

Wazimbabwe wote ni mabilionea?
 
Mshaambiwa watu wa arusha na mwiigulllu nccheemba msipoichagua cccm mtakufa haya sasa,chagueni chama tawala msife shauri yenu,baada ya mabilionea kwisha tunafata mamilionea wote kisha malakionea wote

Then mamiaonea

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Arusha kwa sasa inanuka vifo tuu.ni Jana turn mwanamke kakutwa tens gesti kafa,Leo tena mwingine.
 
Hivi kumiliki hotel ndio kigezo cha kuwa billionare? Hivi kwa nini mnawasingizia marehemu?
 
[QuUOTE=calculator;7080949]Habari wakuu,

Naona a town wameandamwa sana na mtoa roho. Mmiliki wa Merimont Hotels & Lodges kakutwa amefariki jioni hii ndani ya chumba cha hotel ya City Plaza, iliyopokatikati ya jiji la Arusha.

Inasemekana alikuwa na mke wa rafiki yake aitwaye Chedi na mama huyo ametoweka na mamilioni ya fedha na gari aina ya Lincoln Navigator.[/QUOTE]

Hela yakubadilisha chakula tu
 
Inadhaniwa ni sumu. alitoka kuuza tanzanite yenye thamani ya mil 380, huyo mama amezikomba zote

Hizo ni pesa nyingi sana, na ni mzigo kuzibeba/kutembea nazo. Kwa nini wanapenda kutembea na pesa nyingi? kwani huko bank hazijafika? "Ubilionea" wao una walakini mkubwa sana.
 
Mke wake kaona screpa kamvamia wa mwenzie, sasa nenda kajibu kwa pilato. Faida kutembeza kikojoleo ovyo
 
Nimejaribu kuangalia jarida la Forbes kuona mabilionea wa Africa lakini hawa Arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la Arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,

Hahahah bila kusahau Nyama choma kwa Mromboo na kuwanunulia machalii viburudisho pale Shivaz.
 
WATU WANAPINGA NENO BILIONEA BILA KUWA NA POINT... WOTE WALIOSEMWA MABILIONEA NI WA UKWELI ILA KWA FEDHA ZA TANZANIA.. KWA AKILI FUPI ZA WABONGO WANAFANANISHA NA MABILIONEA WA DOLA ZA MAREKANI... wote wana asset za zaidi ya bilioni NA MIAMALA YAO NI YA BILIONI ZA KITZ
Tatizo nyie waarusha wenzangu mtu akiwapiga raund mbili za Viroba na mishikaki miwilimiwili basi keshawamaliza. Kesho yake utasikia mapambio mtaani watu wakimsujudu bilionea wao huyo. Inachekesha sana lakini ndo hvo
 
Mke wa Chedi ni noma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa vigezo hivyo inawezekana na mimi ni bilionea nisiyejijua!

Mkuu Arusha ukiwa na kanyumba kako na bodaboda we ni bilionea.

Ila kwa ukweli mji huu una watu wenye hela chafu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nimejaribu kuangalia jarida la Forbes kuona mabilionea wa Africa lakini hawa Arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la Arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,
100trillionx5notes.jpg
 
Back
Top Bottom