Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,752
- 46,271
Hakuna hata mmoja.Hebu tutajie mabilionea wa Bagamoyo....
Hakuna hata mmoja.Hebu tutajie mabilionea wa Bagamoyo....
Hili suala inabidi Lema na wenzake wawajibike haiwezekani kila siku mauaji yatokee kwenye jimbo lake.
WATU WANAPINGA NENO BILIONEA BILA KUWA NA POINT... WOTE WALIOSEMWA MABILIONEA NI WA UKWELI ILA KWA FEDHA ZA TANZANIA.. KWA AKILI FUPI ZA WABONGO WANAFANANISHA NA MABILIONEA WA DOLA ZA MAREKANI... wote wana asset za zaidi ya bilioni NA MIAMALA YAO NI YA BILIONI ZA KITZ
Mkuu Katavi,
Matukio mauji ya kutoa roha katika jiji la Arusha yamekuwa mengi sana.
Mbunge wa Arusha anatakiwa awafahamishe wananchi wa jimbo lake usalama wao.
Habari wakuu, Naona a town wameandamwa sana na mtoa roho. Mmiliki wa Merimont Hotels & Lodges kakutwa amefariki jioni hii ndani ya chumba cha hotel ya City Plaza, iliyopokatikati ya jiji la arusha. inasemekana alikuwa na mke wa rafik yake aitwaye Chedi na mama huyo ametoweka na mamilioni ya fedha na gari aina ya Lincoln Navigator.
mapenzi yanangao zake kazi inaendelea,
yeye kamuona mke wa rafiki yake ndiye mtamu kuliko wanawake wote,
kafa kijinga kwa ujinga shetani ampokee.
He earned it. Huyo naye wanafiki watakuja hapa eti Mungu mweke pema.Habari wakuu, Naona a town wameandamwa sana na mtoa roho. Mmiliki wa Merimont Hotels & Lodges kakutwa amefariki jioni hii ndani ya chumba cha hotel ya City Plaza, iliyopokatikati ya jiji la arusha. inasemekana alikuwa na mke wa rafik yake aitwaye Chedi na mama huyo ametoweka na mamilioni ya fedha na gari aina ya Lincoln Navigator.
I thought mwenyekiti wa ulinzi ni mkuu wa mkoa, sasa Lema anahusikaje?Hili suala inabidi Lema na wenzake wawajibike haiwezekani kila siku mauaji yatokee kwenye jimbo lake.
Mkuu Wakyagara, RIP ya nini tena hapo? Amanyora kiyo ari agara.arusha bana,hata muuza mnafu anaitwa bilionea.tena utasikia jamaa alikuwa anapiga hela arifu.n'way.RIP bilionea mwingine +watakapkufata in advance
Hahahaah! Nadhani watabaki mamilionea tu.Hivi watakuwa wamebaki wangapi hao mabilionea?
Mkuu Wakyagara, RIP ya nini tena hapo? Amanyora kiyo ari agara.
Arusha bana kila mtu akiwa na hotel ni bilionea. Halafu wanawake Arusha wapo wengi sana tena wazuri kupindukia sasa inakuwaje wake za watu tu!!!
Mimi naamini hao watakuwa na imani ya Freemason na sasa masharti yamewashinda kisha wanakufa vifo vya ajabu ajabu.
RIP Bilionea mwingine.