Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Ebu tuelewane kwenye hili suala la 'ubilionea'. Bilionea ni mtu yeyote mwenye kumiliki pesa au mali ya kuanzia bilioni au zaidi ya thamani ya pesa inayohusika. Na kwa 'context' ya Tanzania tunatumia shilingi. Sasa kama mtu anamiliki hotel kati ya bidhaa zake nyingi akiwa na magari ya kutembelea na nyumba kwanini thamani yake isiwe sh. Bilioni au zaidi
 
Arusha bana kila mtu akiwa na hotel ni bilionea. Halafu wanawake Arusha wapo wengi sana tena wazuri kupindukia sasa inakuwaje wake za watu tu!!!

Mimi naamini hao watakuwa na imani ya Freemason na sasa masharti yamewashinda kisha wanakufa vifo vya ajabu ajabu.

RIP Bilionea mwingine.
Kwani maana ya ubilionea ni nini?Si kuwa na bilioni zaidi ya moja?Mtu mwenye hoteli ya kitalii hapa Arusha ni bilionnaire....Why?kwa sababu ile thamani ya ardhi tu aliyojengea hiyo hotel,achilia mbali hoteli yenyewe na pato lake la kila siku inaweza kumuweka kabisa ktk category hiyo( kwa hela zetu za madafu!)
 
Mi nafikiri wamrudie mungu tu na huo ubilionea wao.. Zaidi watazidi kuisha na huo ubilioneandumba wao
 
Kama ambavyo Rais anatakiwa awajibika kwa mauaji mengi kutokea katika nchi yake.

...........Na tuanze na uwajibikaji wa rais kwa vifo vya kina mama,watoto waliokosa huduma nzuri vijijin na wagonjwa wa ukimwi waliouziwa ARV feki!......eeeeh.... na maumivu aliyoyapata sheikh Ponda kwa kupigwa risasi!
 
Forbes wote ni wa usd... Tunazungumzia wa tsh... Fikirisha akili yako.. Source yako si sahihi

nimejaribu kuangalia jarida la forbes kuona mabilionea wa africa lakini hawa arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,
 
BOSI HUWEZI KUFANANISHA VITU VIWILI VISIVYOLINGANA... KAMA ULISOMA HATA MPAKA DARASA LA SABA, KULIKUWA NA HESABU NINI KIKUBWA KATI YA HIKI NA HIKI.. ili ulinganishe lazima uweke kila kitu kwenye kizio kimoja.. YES WATU WENGI NI MABILIONEA KATIKA HELA ZA ZIMBWAMBWE LAKINI SI MAMILIONEA KATIKA FEDHA ZA USD....
na ubilionea si lazima upimwe katika currency moja, ILA KAMA UNATAKA KUPIMA KATIKA USD TANZANIA HATUNA MTU HATA MMOJA KATIKA LIST YA UBILIONEA NA DUNIA NZIMA WAPO CHINI YA 10000 KWA MUJIBU WA FORBES WA USD



Kutokana na maoni yako inamaanisha kuwa wazimbabwe wote ni billionaires na Zimbabwe inaongoza kuwa na more billionaires than any country in the world?
 
kwanza hiyo merimount hotel ipo eneo gani? mie ndio naisikia
Hata mie nataka kujua.. Halafu huyu milionea mbona hata jina sijaliona? Wengine walipokufa picha zilirushwa sana kwenye whatsApp mbona huyu bado mpaka sasa?
 
Habari wakuu,

Naona a town wameandamwa sana na mtoa roho. Mmiliki wa Merimont Hotels & Lodges kakutwa amefariki jioni hii ndani ya chumba cha hotel ya City Plaza, iliyopokatikati ya jiji la Arusha.

Inasemekana alikuwa na mke wa rafiki yake aitwaye Chedi na mama huyo ametoweka na mamilioni ya fedha na gari aina ya Lincoln Navigator.
HV NAMI9 NA KALE KA led tv kangu ka hisense na kavitz kangu na hela ya bia ...naweza kuingia hata kwe ulakilionea wa arusha...maana hawa jamaa wakimiliki vilodge vya bed and breakfast tu washakuwa mabilionea:disapointed: by the way....R.I.P TO COMRADE
 
hela za masharti ya waganga lazima ufe kifo cha fedheha
 
Mhhh...!!!! Kulikoni mabilionea wa Arusha? Naona mwapungua watabaki mamilionea na laki-onea kama si elfu -onea.

hao ma mamilionea na malakionea wapo Dar ndio maana wanashangaa A-Gwara kuwa na mabillionaire!!!
hawajui sisi tuna madini ya thamani ya juu na biashara za kitalii...wao sasa...misheni town mingi na udalali usiokuwa na maana...utakuwa billionea saa ngapi????

mabillionea wa Dar ni wale wachache wauza unga ambao nao huwezi jua ni billionea kwasababu hataki watu wajue biashara zake!
 
Ebu tuelewane kwenye hili suala la 'ubilionea'. Bilionea ni mtu yeyote mwenye kumiliki pesa au mali ya kuanzia bilioni au zaidi ya thamani ya pesa inayohusika. Na kwa 'context' ya Tanzania tunatumia shilingi. Sasa kama mtu anamiliki hotel kati ya bidhaa zake nyingi akiwa na magari ya kutembelea na nyumba kwanini thamani yake isiwe sh. Bilioni au zaidi

well said maana watu hawajui maana yake,mbio kuponda tu hapa....JF raha sana!
 
Kuna tetesi zisizo na source,ma DON KING ya CDM ndiyo yanashughulikiwa kwa order ya MW...... N...... laleni hivyohivyo
 
na wewe si ni Billioneir? au kwakua haupo Arusha... Unaendeleaje

Mshaambiwa watu wa arusha na mwiigulllu nccheemba msipoichagua cccm mtakufa haya sasa,chagueni chama tawala msife shauri yenu,baada ya mabilionea kwisha tunafata mamilionea wote kisha malakionea wote
 
Back
Top Bottom