Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Hivi Arusha kuna mabilionea wangapi?

Kila mtu analalamika maisha magumu, lakini kila siku tunasikia kuna mabilionea. Hawa mabilionea pesa zao ziko wapi? au wanaweka chini ya uvungu?

Kwa mtazamo wangu; kila mfanyabiashara wa madini mji wa AR yawezekana ni Bilionea....(japo sina hakika ni katika SARAFU/CURRENCY ipi)
 
Alikuwa na mke wa mtu? Kapigwa risasi au kafa kifo cha kawaida?

Inadhaniwa ni sumu. alitoka kuuza tanzanite yenye thamani ya mil 380, huyo mama amezikomba zote
 
A town ni jiji la kitaliii, this situation compromises my visit..!
 
Mwaka wao huu...na bado....dhuluma nyingiii...
 
Hili suala inabidi Lema na wenzake wawajibike haiwezekani kila siku mauaji yatokee kwenye jimbo lake.

Kaka Ritz vipi wasiwajibike viongozi wa vyombo vya usalama wa mkoa ambao ndio wenye jukumu la usalama wa watu na mali zao?
 
Last edited by a moderator:
Inadhaniwa ni sumu. alitoka kuuza tanzanite yenye thamani ya mil 380, huyo mama amezikomba zote

Wamama wa Arusha wamo nao wanataka kuwa mabilionea kwa short cut. Kwa hili tukio nafikiri polisi wanapakuanzia.
 
Hili suala inabidi Lema na wenzake wawajibike haiwezekani kila siku mauaji yatokee kwenye jimbo lake.

Nimecheka sana nilivyosoma comment yako sio kwamba nakuunga mkono!! Kweli wewe Umevurugwa duh!?
 
Hili suala inabidi Lema na wenzake wawajibike haiwezekani kila siku mauaji yatokee kwenye jimbo lake.
THINK OF WHAT TO WRITE!!!!Kufia hotelini kwa mtu kuna uhusiano gani na Mh.Mbunge????!!!!Au ukishasikia Arusha tu Fahamu zinakutoka!!!!??
:help::help::help::help::help::help::help::help:
 
WATU WANAPINGA NENO BILIONEA BILA KUWA NA POINT... WOTE WALIOSEMWA MABILIONEA NI WA UKWELI ILA KWA FEDHA ZA TANZANIA.. KWA AKILI FUPI ZA WABONGO WANAFANANISHA NA MABILIONEA WA DOLA ZA MAREKANI... wote wana asset za zaidi ya bilioni NA MIAMALA YAO NI YA BILIONI ZA KITZ
 
Mwee namwachia shetani kwa sababu nikimwachia mungu atawasamee mke wa mtuuuuuuu sheeee
 
Back
Top Bottom