Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

WATU WANAPINGA NENO BILIONEA BILA KUWA NA POINT... WOTE WALIOSEMWA MABILIONEA NI WA UKWELI ILA KWA FEDHA ZA TANZANIA.. KWA AKILI FUPI ZA WABONGO WANAFANANISHA NA MABILIONEA WA DOLA ZA MAREKANI... wote wana asset za zaidi ya bilioni NA MIAMALA YAO NI YA BILIONI ZA KITZ

Kwahiyo sasa hivi mmebakisha mabilionea wangapi hapo "jijini" Arusha?
 
Watu wa Arusha wanajua sana kuwachanganya waTanzania yaani kila mkazi wa Arusha ni bilionea ipo siku hata mbuzi na ngo'ombe wa Arusha nao watakuwa mabilionea.Yaani du hata nashinwa la kusema kwa jinsi mji wa Arusha ulivojaa mabilionea inaonekana kila mtaa kuna bilionea kumi

Tulia wewe mk.we.re wa Bagamoyo....Tuachie Arusha yetu hapa kuhusu...
 
Nimejaribu kuangalia jarida la Forbes kuona mabilionea wa Africa lakini hawa Arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la Arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,
 
Hebu tutajie mabilionea wa Bagamoyo....
 
Eti mbunge awajibike kumbe nae anatakiwa asimamie maswala ya ngono haramueeeeeeeee
 
Arusha bana kila mtu akiwa na hotel ni bilionea. Halafu wanawake Arusha wapo wengi sana tena wazuri kupindukia sasa inakuwaje wake za watu tu!!!

Mimi naamini hao watakuwa na imani ya Freemason na sasa masharti yamewashinda kisha wanakufa vifo vya ajabu ajabu.

RIP Bilionea mwingine.

Kha ha ha ha haaaaaa! Hii hotel tajwa iko kwa wapi Mkuu maana jina tajwa inanitatiza.

Na BILIONEA mwenye hajatajwa.
 
Hivi Lema hayumo kwenye orodha ya mabilionea?

Hahahahahahaha

Mkuu kuna mshamba mmoja katoka Bukoba, kufika Dar kachanganyikiwa kuona magorofa mwishowe anasema maghorofa yanahitajika Dar es Salaam tu. Jamaa ni dalali anajiita ExpertBroker akijua kuwa kuna mabilionea wengi namna hii Arusha labda mawazo yake yatabadilika.

Tatizo mabilionea wa Arusha mpaka wakifa ndio wanafahamika kuwa walikuwa mabilionea. Lema hatuwezi kujua...
 
Last edited by a moderator:
Hili suala inabidi Lema na wenzake wawajibike haiwezekani kila siku mauaji yatokee kwenye jimbo lake.

Ulikuwa unaandika kamasi likutoka wewe futa kamasi urudi ukiwa na akili timamu
 
Nimejaribu kuangalia jarida la Forbes kuona mabilionea wa Africa lakini hawa Arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la Arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,

Hiyo ni kweli kabisa mkuu.

Ukifuatilia utgundua mabilionea wengi wa Arusha huwa wanapewa title za ubilionea na mademu.
 
Nimejaribu kuangalia jarida la Forbes kuona mabilionea wa Africa lakini hawa Arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la Arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,

Mkuu unatafuta ugomvi na watu wa Arusha na Zimbabwe. Manake wazimbabwe woooooteeeeee ni billionaires
 
Kaka Ritz vipi wasiwajibike viongozi wa vyombo vya usalama wa mkoa ambao ndio wenye jukumu la usalama wa watu na mali zao?

Watu wa usalama wakifika katika matukio kama hayo wanaonekana wao ndo wakorofi na wanakutana na mnachoita nguvu ya umma! ni vizuri tuwaamini na tuwaache wafanye kazi
 
Watu wabanjuane hadi kufa halafu mnahusisha mbunge kwa kazi gani? Acheni utani nyie watu. Mbunge wa Arusha has nothing to do with adulterers!! Siasa wekeni mbali na utani kama tunavyotaka yule Katibu wetu akae mbali na nyara zetu!!
 
Inadhaniwa ni sumu. alitoka kuuza tanzanite yenye thamani ya mil 380, huyo mama amezikomba zote

Maaaaweee!!!! Yaani badala ya kuzipeleka kwa mkewe (kama alikuwa haziamini hizi benki zetu) kapeleka mzigo kwa "mke wa rafiki yake" kumrubuni? ama kumringishia? ama!! Kweli hii ngumu kumesa! Jamani tuwastahi na kuwapenda wake zetu!
 
Back
Top Bottom