Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Mshaambiwa watu wa arusha na mwiigulllu nccheemba msipoichagua cccm mtakufa haya sasa,chagueni chama tawala msife shauri yenu,baada ya mabilionea kwisha tunafata mamilionea wote kisha malakionea wote
kisha ma elfuonea.
 
zimbabwe-billion-dollar-notes.jpg

Zimbabwe_BoyWithNotes.jpg
 
WATU WANAPINGA NENO BILIONEA BILA KUWA NA POINT... WOTE WALIOSEMWA MABILIONEA NI WA UKWELI ILA KWA FEDHA ZA TANZANIA.. KWA AKILI FUPI ZA WABONGO WANAFANANISHA NA MABILIONEA WA DOLA ZA MAREKANI... wote wana asset za zaidi ya bilioni NA MIAMALA YAO NI YA BILIONI ZA KITZ

The Absolute Worst Currency in the World: Zimbabwe

Published November 17, 2012 FoxNews.com

Zimbabwe
$1 USD = 642,371,437,695,221,000 Zimbabwean Dollars
It's hard to keep track of just how fast the Zimbabwean dollar has fallen since the government reinstated electronic parallel market transfers on Nov. 13, but even before that the currency of Zimbabwe was the most worthless in the world.
While the official rate on Monday was 19,393.94 Zimbabwean dollars to the $1 USD, the old mutual implied rate, generated from comparing the Zimbabwe and London stock exchanges, valued the currency at more than 642 quadrillion to one.
When the currency was revalued this summer, an egg cost about $35 billion Zimbabwean dollars.

Read more: http://www.foxnews.com

1705484662_1368886901.jpg
 
Jamani billion ni million elfu moja na si lazima iwe pesa zilizo benki bali ni nyumba magari ng'ombe mbuzi mashamba nk nk.
Wanaotumia muda mwingi kubisha ni wivu unawasumbua.
Watu wanamiliki nuumba za kuishi zenye thamani ya milion 500 so akiwa nazo mbili si billion tayari, hapo hujaongezea vijisenti vyake alivyoweka Uswiss.
So Arusha kuna mabillionea wengi tuu ila tatizo wabongo mpaka urushwe na Twanga ndiyo ujulikane Papaa.
 
arusha-guest-house.jpg

Arusha-crown-Hotel2.jpg
 
Je,watamzika na mabilioni yake? Chezea kifo wewe,yaani unaacha kila kitu,Matajiri acheni kiburi na majigambo
 
Ar kuna visasi sana c kama enzi zetu za miaka ya 80. Wkt wa sasa Ushirikina upo juu, wivu, kuchunguzana na kutoana roho.

Tatizo kamji kadogo ndio maana mnajuana sana. Huku kuna mahotel kibao lakini mpaka umjue mmiliki wake sio sawa na huko.
 
Nimekaa Arusha na kukulia hapo japo kidogo (enzi za Baba askofu baada ya kupata hela za mererani na kununua Palsons Hotel). Wakati nasoma secondary school kuna wenzangu njuka walikua wanatoroka kwenda mererani kutafuta fedha ili warudi kutesa wakiitwa machalii hawajui mbele wala nyuma. Nilikua nawauzia used miswaki yangu nikiishiwa. Sasa leo hii haohao wamefanikiwa na kuwa na magesti ya ghorofa na kuendesha magari ya kisasa kwa mbwewe huku wakivalia nguo za bei na mablingiblingi shingoni hadi vidoleni.

Sasa ubilionea sijui upo wapi na hela hiyo je ni kwa kufika bar na kusema mpe kila mtu kreti ya kinywaji anachokunywa akiwa na wapambe kibao? BILIONEA WA ARUSHA
 
Crate ya kinywaji.....!!
Sio kila kinywaji kinawekwa kwenye crate.
 
Inasikitisha pale watu wanaojiita ma great thinkers wanapoanza kudadisi mambo kiutaniutani.vifo vinatokea alafu mtu anakimbilia kujadili who is a billionare and who isnt.It doesnt need a rocket scientist to understand that billlonare is a relative term, especially when used in our LDC context.
Mi nafkiri ingekua bora watu kubrainstorm nini kinaweza kua chanzo cha mauaji hayo.Kumbuka kwamba vifo hivi vinahusisha wazawa wanaomiliki vibiashara, japo vidogodogo lakini vina mchango kwa uchumi wetu.
Je, kuna uwezekano wa kuwepo na makundi ya kimafia kama yaliokuwepo nchini Kenya kwa jina la Mungiki,ama kule Italy (extortion rackets)
Haya mambo ya sijui alikua na mke wa mtu huenda yakawa kisingizio tu.
Jamani great thinkers I think you need to style up, sio kupoteza bytes kwa kujadili motion ya "billionare or not billionare?" kila wakati.
 
Mwambie author wa thread abadili heading basi kama hutaki watu wawajadili hao ma 'bilionea'
 
Back
Top Bottom