Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,231
- 9,552
CCM hata wangempitisha Mzee Majuto wangeshinda uchaguzi.
Sera za UKAWA zipi kuzungusha mikono hewani huku unaimba Lowassssssa mabadiliko.
Sera za UKAWA neno fisadi kulitaja ilikuwa marufuku Dr.Magufuli ilo neno ndiyo silaha yake ya mapambano.
Ilani na sera za UKAWA huwezi ukazijua,Magufuli zinayemsaidia kwenye kazi yake ndiye anayezijua,utaishia katika hilohilo la kuzungusha mikono hewani na kuinua dole gumba hewani.