Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.
Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.
Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.
Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.
Ujumbe uko sahihi timing ya matukio ndio tatizo kidogo mkuu, Edo alikwenda CDM baada ya kukatwa CCM na Magufuli kupitishwa na sio Membe hivyo Membe hajawahi kuwa tishio CDM, ila record ingekuwa sahihi kama ungesema kuibuliwa kwa Mh JPM ni kutokana na upinzani kuwa na nguvu ingekuwa poa, ni mawazo yangu tafadhali