Lowasa ni tunu ya taifa hakika atakumbukwa vizazi na vizazi
Kwa taarifa yako Magufuli ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na akili kuliko CCM wote kwa mwaka 2015/2020 ndio maana kaweka ilani na sera za CCM pembeni,ana fanya kazi kwa kutumia ilani na sera za UKAWA kwa kuwa zinatija kwa nchi.
Upinzani ungekuwa goi goi, na watu wasingekuwa wanataka mabadiliko kwa usongo basi Pombe hakuwa na nafsi kabisa. Hivyo wakaangalia ni nani anayeweza kuwaokoa kwenye jahazi ndio akapatikana Pombe
CCM hata wangempitisha Mzee Majuto wangeshinda uchaguzi.Kwa taarifa yako Magufuli ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na akili kuliko CCM wote kwa mwaka 2015/2020 ndio maana kaweka ilani na sera za CCM pembeni,ana fanya kazi kwa kutumia ilani na sera za UKAWA kwa kuwa zinatija kwa nchi.
Tena siyo yule Rais wa juzuu muda mrefu ni kula pilau badala ya kuleta maendeleoNaona pro-Chadema JF wanarusha ngumi hewani juzi tu walikuwa wanatuambia kuwa Dr.Magufuli fisadi hana uwezo wa kuongoza kazi kupinga push up leo hii wanaisoma namba na Lowassa wameishamsahu. Haya ndiyo mabadiliko tunayotaka watanzania siyo kuzungusha mikono.
Wewe punguani kweli hayo maneno mwambie mleta mada za Membe.Bado una akili za kipindi cha kampeni? Tushatoka huko sasa tuna Rais wa JMT na kaanza kuwashughulikia wezi
Mkuu sasa hivi ni marufuku kupamba picha za Noel kwenye ofisi za serikali ni kazi tu mlikuwa mmegeuza ofisi vigango vya Makanisa.Tena siyo yule Rais wa juzuu muda mrefu ni kula pilau badala ya kuleta maendeleo
Unasema kweli kabisa i.e. CCM hata wangempituisha mzee Majuto wangeshinda. Lakini wangeshinda si kwa sababu ya KUKUBALIKA kwa CCM... la. Ni kwa sababu mfumu wa uchaguzi unawabeba. BTW watanzania wengi wanasema kuondoka kwa Kikwete ikulu ni ushindi na faraja kubwa kwa nchi yote kwani huyu mzee alikuwa kama mzigo wa furushi la maji taka! Na ingekuwa huzuni kubwa kama angeweza kumwachia Membe au Asha nchi!CCM hata wangempitisha Mzee Majuto wangeshinda uchaguzi.
Sera za UKAWA zipi kuzungusha mikono hewani huku unaimba Lowassssssa madaliko.
Sera za UKAWA neno fisadi kulitaja ilikuwa marufuku Dr.Magufuli ilo neno ndiyo silaha yake ya mapambano.
Hapa ni mwendo wa mdudu sio kujeuza ofisi ni masjid kama afanyavyo dau na assadMkuu sasa hivi ni marufuku kupamba picha za Noel kwenye ofisi za serikali ni kazi tu mlikuwa mmegeuza ofisi vigango vya Makanisa.
Naona umekiri mwenyewe na umejisalimisha CCM.
Vipi lakini bado unazungusha mikono??
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.
Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.
Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.
Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.
Mkuu anachofanya Magufuli ni kile alichokiona kinawatatiza wananchi walio mchagua na pia alisha yaahidi kwenye kampeni zake, sasa unaposema anatumia sera za UKAWA kwa namna ipi wakati kero za wananchi aliziona kabla?
Marufuku kutumia pesa za serikali kupamba mapambo ya XMass ofisi za serikali hii ni amri kutoka kwa rais Dr.Magufuli nenda kamshtaki kwa mtume wenu wa Chadema Gwajima.Hapa ni mwendo wa mdudu sio kujeuza ofisi ni masjid kama afanyavyo dau na assad
Wakati tukimpongeza rais John P. Magufuli kwa tremendous job anayoifanya, tusisahau kuwapa credit UKAWA kwa kumpendekeza Lowassa kuwa mgombea urais.
Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA ulibadili kabisa mipango yote iliyokuwa imepangwa na watawala (system) ya kumweka mtu wao Membe ambaye angeendeleza 'status quo'.
Kwa hali hiyo kama Membe angekuwa rais haya madudu yanayoibuliwa leo ya vigogo kukwepa kodi yangefunikwa na wala tusingeyajua.
Mungu ana njia nyingi sana za kumsaidia mtu anayeonewa.