Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,425
Kudinya mtu mmoja miezi miaka ni changamoto sana.Mungu atusaidie.... Hali sio mzuri Sana ... Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Kudinya mtu mmoja miezi miaka ni changamoto sana.Mungu atusaidie.... Hali sio mzuri Sana ... Hawa wanaume ambao bado wanaona ufahari kuwa na msururu wa michepuko. Ni changamoto kubwa Sana.
Wee kupimwa lazima!?ha aha ha hapanaWanawake ni wengi vile ukienda clinic na mimba ni lazima upimwe na nyie wanaume kwenda hospital ni binde ipitishwe Sheria kupima iwe lazima
Bila kufanya ABC kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa kumantain ni kazi kama hauna stamina.Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa lita angamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Siri ni kubwa sana na Taifa lina angamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa?
Yes, iwe lazima wanaume wanakimbia unafikiria huo ukimwi umetoka wapi?Wee kupimwa lazima!?ha aha ha hapana
Hakuna kiumbe anayeweza hili,.Kudinya mtu mmoja miezi miaka ni changamoto sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmeanza...
Hapana,mwaka Jana nikimzaa binti yangu tulienda Pima, aisee siji sahau ile SikuYes, iwe lazima wanaume wanakimbia unafikiria huo ukimwi umetoka wapi?
Ni vizuri ka unachepuka inaniambia tuachane ili ukazurule vizuri huko nje kwa Uhuru kuliko kuniletea maradhi. Maana Hali ya Sasa ni teteHapana,mwaka Jana nikimzaa binti yangu tulienda Pima, aisee siji sahau ile Siku
Na nyie mnatunyima ngono waume zenu thus why tunaangaika.....nipe mapenzi nitulie sio kunibania
Dada Hamna mwanaume mwenye MTU mmoja tu..in nadra sanaNi vizuri ka unachepuka inaniambia tuachane ili ukazurule vizuri huko nje kwa Uhuru kuliko kuniletea maradhi. Maana Hali ya Sasa ni tete
Wewe jifariji hvo hvo Mimi nikijua hata ndoa huyo nakuruhusu tu ukawe na hata miaDada Hamna mwanaume mwenye MTU mmoja tu..in nadra sana
Hivi Dada inakuaje hadi umbanie mme/mpenzi wako mzigo? we MPE tu amwage hata kama haujiskii. Baadhi ya Wanawake waliolewa wangekua hawatoi masharti kwa waume zao kwenye kutoa mzigo, naamini maambukizi yangepungua pia.Ni vizuri ka unachepuka inaniambia tuachane ili ukazurule vizuri huko nje kwa Uhuru kuliko kuniletea maradhi. Maana Hali ya Sasa ni tete
Nyie hamridhiki Bora tuwabanie mkapate ngoma huko, sasa mkeo amekuchoka Hana hamu na wewe ajidaganye kukupa hell no, Bora mkazurule huko tu mnakojua wenyewe, tena mie nikashazaa watoto wangu sihangaiki na wewe kabisa lohHivi Dada inakuaje hadi umbanie mme/mpenzi wako mzigo? we MPE tu amwage hata kama haujiskii. Baadhi ya Wanawake waliolewa wangekua hawatoi masharti kwa waume zao kwenye kutoa mzigo, naamini maambukizi yangepungua pia.
Nimeongea ukweli Dada,au nidanganye!?Wewe jifariji hvo hvo Mimi nikijua hata ndoa huyo nakuruhusu tu ukawe na hata mia
Sasa hapo mnapokaza kwa mume/mpenzi ambaye hana hatia ndio tatizo lilipo. Kuna muda tu utafika jamaa atatafuta tulizo LA haja zake.Nyie hamridhiki Bora tuwabanie mkapate ngoma huko, sasa mkeo amekuchoka Hana hamu na wewe ajidaganye kukupa hell no, Bora mkazurule huko tu mnakojua wenyewe, tena mie nikashazaa watoto wangu sihangaiki na wewe kabisa loh
Ndio tunapotezea Mimi tendo nitafanya nikitaka mtoto baada ya hapo Sina mda nyie wenyewe hamtuliiNimeongea ukweli Dada,au nidanganye!?
Ndio ukweli.
Mkiolewa sex mnapotezea sana.
Ndio vzuri akatafte huko tulizo ili kunipunguzia kero nilee wanangu kwa rahaSasa hapo mnapokaza kwa mume/mpenzi ambaye hana hatia ndio tatizo lilipo. Kuna muda tu utafika jamaa atatafuta tulizo LA haja zake.