=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Nikisikiaga jina Foxy basi namkumbuka Pam Grier.

Moja ya Great women ambao waliweza pata SUCCESS

in the most challenging times and areas.... thou not

that interested in her... I admire her in some of her related aspects..
 
Moja ya Great women ambao waliweza pata SUCCESS

in the most challenging times and areas.... thou not

that interested in her... I admire her in some of her related aspects..

As a red blooded raw African brother you'd probably know why I like her teh teh teh..
 
As a red blooded raw African brother you'd probably know why I like her teh teh teh..

Believe ME... I know... kwa miaka hio wazungu kujichanganya

wazi na Blacks ilikua issue BUT with Pam the Dared!!

Sembuse NN....
 
mimi miezi mitatu tu ya ndoa, mke nimefukuza karudi kwao

PhD bana you can do beta.... Dah!

wifi nilikuambia natamani lile jukwaa la FF aliloliota! yaani siku hizi ukiongelea 2nd anniversary watu wanakuona like ana alien! it is a sad one, nadhani analysis ya tatizo inabidi ianzie kwenye kuzaliwa hadi sasa. kakangu eiyer alisema asubuhi labda vile wamama wanaenda kwenye siasa na kazini so watoto wanakosa malezi ya mama hadi wanashindwa jinsi ya kuishi na wenza wao? (i am looking for causal-effect relationships,lol!)
 
Notes nachukua zako dada..sidhani kama nitapata mke kama FF kwa kweli (no pun intended!)..naomba Mungu anipe mke mpole na mwelewa kama wewe...hata miaka mia tutadunda tu!!!

Mentor my kid bro... did not see this post.... Unapo muomba Mungu siku zoote omba for the BEST not kuomba kama fulani... mimi ni mwanadamu na kama wanadamu wengine lazima nina madhaifu.... yanaweza hata yakawa mabaya mno wala huwezi handle - Amini usiamini... in most cases we create images of people (hasa ambao hatujawaona...) beyond uhalisia wa huyo mtu... So be careful brother for what you wish for... For kwa upande wangu I PRAY to GOD akujaalie what is best always!!!
 
Hongera sana FF kwa kufikisha miaka 30 ya ndoa lakini nitakuwa simtendei haki Mumewe FF kwa ustahimilivu mkubwa.Kuishi na Mamaa wa mipasho miaka 30 si mchezo hata kidogo.Mwanzoni nilidhani FF ana miaka kati ya 18 - 20s baada ya kusoma hii bandiko nimebaini nilikuwa simtendei haki FF kuanzia leo FF nitamwita Dada FF.Tunapishana na Dada FF kwenye baadhi ya mada lakini kuna baadhi ya mambo Dada FF ananikosha sana [1] Hakimbiii mada aliyoianzisha Nape anastahili kujifunza hili.[2] Ni mjuzi wa kutetea hoja hatukani ingawa mipasho si haba.[3] Anaipenda dini yake Islam ikiguswa anakuwa mkali kama pilipili kichaa.

Kwa kweli ana stahili hongera FF, du ina maana FF anagonga kama 50 years hivi kama aliolewa na 20 years! sasa nikifikiria na ukada wake wa CCM, na misimamo yake kweli inaingia akilini, nilikuwa nashindwa kuelewa , kumbe umri umekwenda!
 
Kwa hilo nampa hongera sana FF, lakini pia nampa hongera MUME wake FF kwa kuweza kuishi na mwanamke kama FF for all that years!!

mkuu inawezekana JF ndiyo mahali pake pa kupigia story na kumwaga utumbo na hasira zote, akiwa mtaani, rafiki yake ni mumewe tu. inawezekana pia ni mke mzuri sana huyo FF-anaweza hata akakuogesha huyo.

Mwenye siri ni mumewe!
 
wifi nilikuambia natamani lile jukwaa la FF aliloliota! yaani siku hizi ukiongelea 2nd anniversary watu wanakuona like ana alien! it is a sad one, nadhani analysis ya tatizo inabidi ianzie kwenye kuzaliwa hadi sasa. kakangu eiyer alisema asubuhi labda vile wamama wanaenda kwenye siasa na kazini so watoto wanakosa malezi ya mama hadi wanashindwa jinsi ya kuishi na wenza wao? (i am looking for causal-effect relationships,lol!)

ha ha ha .... as usual... Umenifurahisha...

On a serious note: Ndoa za zamani zilikua zinalindwa saaana na akina mama.... ndani ya ndoa in most cases mwanamke ndio unaamua kua ndoa iendelee (kwa Kuvumilia/kung'ang'ania of coz) au tu ivunjike - Sad ni kua wengi wanashindwa vumilia hata vile vinavo vumilika..... wanaume in some cases hasa ya ndoa ni kama a big kid (akina kaka/baba mtanisamehe kwa hili) na wewe kama Mke ukijua jinsi ya kum handle... believe me you chances of reaching 30 years zipo saana. Zamani effort katika survival ya marriage ilikua wanaume 40% na wanawake 60%... Problem kubwa sasa ni kutaka kua 50/50.... wapi na wapi?? Lazima ivunjike kwa mtindo huo...
 
Sijui ndo ile ya uswahilini... ya kusasambura... or else hata mimi am new

Alafu Viper sema tu hizo parties zimechakachuliwa but zilikua na maana saana.

haha Didi kwa sisi watu wa pwani na visiwani kule ... kipindi kile kulikuwa hakuna mambo ya kitchen party! mwari anafundwa na kungwi chumbani na si hadharani kama wanavyofanya sikuhizi kwenye ma hall .. chumbani kunakuwa na mashangazi , mwari, na kungwi tu..! mtoto akitoka humo kaiva na anajuwa jinsi ya kutunza ndoa yake...

kwa wanaume haichukui muda mrefu "sanasana sisi wadigo wa tanga na mombasa" kaka ama watoto wa baba mkubwa ambao wamekwisha oa .. huwa wanaongea na wewe matunzo ya mke! hakuna bag party
 
mkuu inawezekana JF ndiyo mahali pake pa kupigia story na kumwaga utumbo na hasira zote, akiwa mtaani, rafiki yake ni mumewe tu. inawezekana pia ni mke mzuri sana huyo FF-anaweza hata akakuogesha huyo.

Mwenye siri ni mumewe!

Very well said Mkuu....
 
Faiza Foxy... a Complicated, Strong, Highly opinionated, Abundantly knowledged,
Controversial, Impressive, Resilient (as per MTM) Lady at JF if any....

It seems you are not only aggressive at JF - BUT at life it self and Success in
Marriage institution as a whole... THUS 30 Years of it!!!

Ni wanawake wachache mno... mno... tunaweza tunza ndoa zetu na kufikisha
umri mkubwa... Kufikisha 30 years of your marriage today na gozi
lako hilo hilo unastahili Pongezi Dear.....
Hongera saaana.

:A S-rose:.....HAPPY 30TH ANNIVERSARY DEAR...:A S-rose:

P.S. Naombe ushee siri ya mafanikio ya kuweza fika hapo....

Nampongeza FF kwa miaka 30 ya ndoa. Mimi nimesherehekea ya kwangu ya miaka 33 Jan 1, 2011

Kama ametulia kiasi hicho asijidhalilishe kutetea SIASA UCHWARA (by Rostam). Nina imani hakuna chuo kikubwa kuliko ndoa. Ushirikiano na familia yake ni msingi tosha na ushahidi wa kuvumilia hoja mbadala hata za kisiasa.
 
haha Didi kwa sisi watu wa pwani na visiwani kule ... kipindi kile kulikuwa hakuna mambo ya kitchen party! mwari anafundwa na kungwi chumbani na si hadharani kama wanavyofanya sikuhizi kwenye ma hall .. chumbani kunakuwa na mashangazi , mwari, na kungwi tu..! mtoto akitoka humo kaiva na anajuwa jinsi ya kutunza ndoa yake...

kwa wanaume haichukui muda mrefu "sanasana sisi wadigo wa tanga na mombasa" kaka ama watoto wa baba mkubwa ambao wamekwisha oa .. huwa wanaongea na wewe matunzo ya mke! hakuna bag party

I support you, ndio maana nasema wamechakachua But ilikua
maana na mafunzo ya msingi saaana... mmmh! A Mdigo eeeh?? Interesting...lol
 
i am so flattered wifi. ila kama unavyosema eti mtu anaacha mume au mke coz hatandiki kitanda! kuna funny stories,afu mtu anakuambia anam-admire mumeo. angejua akimpewa wala hamrudishi atamuulia huko huko na kuteta ile picha kwenye frame (wakristo wanaweka juu ya jeneza). kuna issues zinavumilika,japokuwa kuna nyingine ukiambiwa hauna second decision zaidi ya mbio, u know kupigwa ni namba moja on the list ya yasiyosameheka! nadhani wifi tunahitaji uzi mwingine wa kwa nini ndoa zetu haziwi kama za kina FF, japo wanaonekana wakorofi humu JF lakini nyumbani (where it matters the most) wanayaweza.

QUOTE=AshaDii;2286089]ha ha ha .... as usual... Umenifurahisha...

On a serious note: Ndoa za zamani zilikua zinalindwa saaana na akina mama.... ndani ya ndoa in most cases mwanamke ndio unaamua kua ndoa iendelee (kwa Kuvumilia/kung'ang'ania of coz) au tu ivunjike - Sad ni kua wengi wanashindwa vumilia hata vile vinavo vumilika..... wanaume in some cases hasa ya ndoa ni kama a big kid (akina kaka/baba mtanisamehe kwa hili) na wewe kama Mke ukijua jinsi ya kum handle... believe me you chances of reaching 30 years zipo saana. Zamani effort katika survival ya marriage ilikua wanaume 40% na wanawake 60%... Problem kubwa sasa ni kutaka kua 50/50.... wapi na wapi?? Lazima ivunjike kwa mtindo huo...[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom