=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Kwa hilo nampa hongera sana FF, lakini pia nampa hongera MUME wake FF kwa kuweza kuishi na mwanamke kama FF for all that years!!

Ahsante sana kwa kunipa hongera, na nnakuhakikishia ntafanya kila njia mume wangu asome hii post. It takes two to tango, hujakosea kutupa hongera sote, na kweli, bila yeye ningekata kamba zamaaaani!

Ahsante sana.
 
Hongera miaka 30 sio mchezo.....Mungu aendelee kuwabariki ifike 50

Blaki, One of nieces, we call her Blakii. whenever I see your id you remind me of her, her name is Salmaa.

Mbona sio mingi jamani, mie naona kama jana tu! Dua yako iwe ya heri na tufike na kuzidi 50 Mwenyeezi Mungu akipenda.
 
Asha D...
Hongera kwa kuwa na
Kumbukumbu kubwa.

Yaani husau kitu kwa hilo
Nakuvulia kofia ...

FF
hongera nyingi zikufikie
Si wengi watasema miaka mitano
mamitoo ringa na tamba utakavyo
Kwani 30 kwa wengi ni ndoto..

Alie juu akuongezee 30 zaidi
Na kitabu ukiandike ajili ya vitukuu..

Hongera sana wewe na mumeo..


Asha Dii
Thread kama hizi ndo zakuanzishia watu..

Sante sana
AD..
 
Kama yapi?

Muulize haswa, ananshangaza.

Simba boy, ahsante sana. Naipenda Simba, nilikuambia, Gozi langu liliichezea Yanga na jamaa zako wa Simba, kina Khalid Abeid na Haidar na Is'haka na Aluu na huyu nani sijui, mkubwa wa TFF, Tenga, ni rafiki zake sana, huwa wanaenda kufanya "eti" mazoezi, akirudi hoi, kazi nnaipata mie.
 
Yaani Gaga anahitaji miaka 13 zaidi ili akufikie. Hongera sana. Here is your Pearl.

14389W240.jpg


Why, why, why, why. All my kids brought me pearls?

EMT you are marvelous. Thank you. I like your style!
 
Faiza Foxy My twin.... You can not imagine my happiness... in fact I was PM'n with some of my JF friends na niliwaaga kua i'm tired and loggin OFF!!! Guess what? I receive a like from Majoja after i have just quoted him and out of curiosity thinking he has quoted back... Cha ajabu naona Tusker bariiidi, then nikajua another well wisher... Only to open the thread and Find this Beautiful and wonderful post of yours.... I was/still elated believe me.... Dah!! Nikajiuliza saana kua why addict mwenzangu hajatinga kabisa?? Yaani started feeling really bad kua hawa well wishers watafikiri you don't care... I am genuinely happy and i am going to have sweat dreams leo....

This is what I have to say;

Today wasn't a surprise to me. The surprise was in a form I could never have imagined, Gozi, my Gozi knew what would be a surprise for me, he planned and a good plan indeed it was. A surprise plan, I never love surprises and he knows it. This is how surprised I was:

  • My Boys, two of them are here now, they were here even before I knew it! The were here two days back, my boys, one lives in Canada and one lives in Scotland (studies in Scotland).
  • My Daughters, one lives in Oman (married), one lives in Detroit (married), are all here and I never knew it.
They planned with their Dad to be here without letting me know. Can you believe it? I couldn't!

My Gozi, took my phone last night and switched it off! reason? its our cerebration and he needs all the attention (that was his reason). It wasn't true. The true reason was, he knew one of my boys (my first born) living in Canada, would call me and ruin the surprise. he was not worried of all the others, they are all Dad's.

Early morning my Gozi goes out, as norm, an hour later, knock, knock, knock (not normal at all), I open the door and my last born (the tallest) is face to face with me! while still trying to figure out if I was awake or still asleep, the rest of them show up giggling, the were just behind him!

Imagine my reaction! was I dreaming? No! please God, its not a dream. Indeed it wasn't a dream. Their Dad appears, smiling foolishly, as when he is guilty of mischief, didn't want to embarrass him in-front of the bunch.

What would you call it? Surprise, surprise, surprise.

!

Faiza i genuinely WISH nitakuja experience the experience umepata leo... where did you get such a man?? Your familiy reeks of peace, love, happiness, Hio ina maana you are a great Mother... a great Wife and a person... Kuweza lea familia kwa mapenzi hivo watoto woote wakapatana... wakapendana... wakathamini wazazi to that extent... flying over just for an anniversary say a lot... and one thing is for sure... You are one of those families which are loaded... and have used the wealth to benefit... kweli inapendeza mno and i am impressed... really impressed... And for the first time na realise i am proud they thought you and i were one... for ingetokea nafananishwa na mtu ambae has a really weak character... naona i would have been more pissed off!!!

This is what I have to say;

The other surprise was when I was given my phone back and I happened to just sneak-pick on what goes on at JF, wasn't I surprised to see this thread? No. I was not surprised to see the thread because AshaDii told way back she will right something on my 30th anniversary. The surprise was how beautiful she wrote it, short, articulate and to the point. The response her thread got, was even a bigger surprise.

The least I can say, Thank you all. I wish I would have time to answer all the posts. !

The above you are welcome dear... and kuhusu response... people may hate you but they do admire you... ila punguza kidogo ukali twin... maana hata mimi sometimes hua makini jinsi ya kukkuingia...lol


I cried and cried and cried, first for reuniting with my loved ones and 2nd for seeing those whom I spent most of my time recently arguing with, flirting with, agree on some points with others and some who dared to even make friends with me, of course its you peoples, my unseen friends, the family which was there when I needed it most, my virtual family and friends who kept me busy and out of misery when my children and my Gozi weren't around. I can not explain it better. I love you all.

My twin Faiza... I can not imagine you crying.... i am Lmao' from the imagination....

Hata hivo... kua mtu mzima na una watoto wanajiweza at almost every corner of the world, you have a right to be proud, na you had a right to cry... and i know they were happy, happy tears.... Hongera dear...


Nawaomba niliowaudhi mnisameh sana, niliowakosea msinichukie kwa kukosana tu kwa maandishi yetu hapa JF.

Leo nimeamini kuwa sote ni kitu kimoja, ni binaadam tunaopendana bila kujali itikadi zetu za kidini, kisiasa, kijamii. Mmenifanya nilie sana, kwani hata aliyeniponda, alijitahid anisifu. Nawashkuru na nnawapenda wote. Shukrani zangu za dhati ziende kwa pacha wangu AshaDii, kwa nyuzi nzuri ambayo sikutegemea. Wengine wote ntawajibu post zenu, kila mmoja ki vyake. Gozi limelala, nimelichokesha, nililiambia 30 iwe 30 ki ukweli. Loohhh, akajitahid ikawa mbili na nusu! bado ana deni la 27 na nusu!

Hapo in red... i really hope wahusika wooote waweze ona na kukubali... and please kama nilivosema hapo juu dear kua a bit (just a bit) linient... Na nafurahi kua tumeungana katika ku define JF members... They are all family... ni jinsi tu ya kutafuta kua every body unam treat tokana na level yake ya ufikiri na utafakari.... But in most cases if you put your self in the shoes of the person you are not in agreement with utakuta nae pia ana right ya ku express alicho express thou yaweza kua tofauti na wat you believe in....

Faiza Foxy My twin... it was a pleasure to open up this thread for you... alipo post Zomba i had an insight of the Faiza Foxy beyond JF... Ulipotoa this post... this post has said volumes about you.... volumes Dearest... and i can not say to what extent.... THANK YOU.
 
Nafikiri Mume wake lazima awe Mzungu au Mzungu design kwa kutawaliwa na FF....

Nampa HONGERA kwa kujipatia kakoloni kake kama Tanganyika ilivyo kwa Wazanzibar (Wazenji wanadai hivyo).

Miaka 30 si nyingi sana......ohhhhh, eti nini? Miaka 30 ndani ya ndoa? Khaaaa!!! Miaka yote hiyo mwanamume mmoja?

Siamini, kama wote, siamini Yeye na Yeyeeee..... Ila atakuwa mpenzi wa nyimbo za Ludacris.....



Utani Pembeni: Hongera sana mamaa FF. Kumbe ni mama na heshima yako? Samahani kwa Taarabu zote nilizokurushia. Heshima kwa mbele kuanzia leo. Ila sasa na wewe bana, kuwa basi kama mama mwenye ndoa ya miaka 30 basi. Hongera sana sana na tunasubiri miaka 50 ya ndoa yenu.


Si Mzungu hilo ni zungu haswa haswa!

Ingawa unauma na kupuliza, ahsante saaaana, nasikiliza hicho kitu ulichoniwekea, nikimaliza kukisikiliza ntakwambia, si unajuwa huku kwetu tuna mitandao ya TiGo? it takes time mpaka uisikie yote.
 
Last edited by a moderator:
Many congrats FF! duh! si mchezo, Mungu aendelee kuwapa happiness na upendo kwa maisha yenu yote! na afya zaidi kwa watoto.
 
Asha D...
Hongera kwa kuwa na
Kumbukumbu kubwa.
Yaani husau kitu kwa hilo
Nakuvulia kofia ...

..

AD dear... Asante saaana for the acknowledgement...
Some members hata hua wanalalamika kua nakumbuka mno
hasa kama cha wahusu moja kwa moja... mfano my kid bro
Mentor...lol.... Nashukuru saana AD... Nimefurahi...

FF
hongera nyingi zikufikie
Si wengi watasema miaka mitano
mamitoo ringa na tamba utakavyo
Kwani 30 kwa wengi ni ndoto..
Alie juu akuongezee 30 zaidi
Na kitabu ukiandike ajili ya vitukuu..
Hongera sana wewe na mumeo..


..

ADI Seconds AD's Motion....

Asha Dii
Thread kama hizi ndo zakuanzishia watu..
Sante sana
AD..

AD dear... that coming from you... Again THANK YOU.
 
Back
Top Bottom