=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Sijui ndo ile ya uswahilini... ya kusasambura... or else hata mimi am new

Alafu Viper sema tu hizo parties zimechakachuliwa but zilikua na maana saana.

I support you, ndio maana nasema wamechakachua But ilikua
maana na mafunzo ya msingi saaana... mmmh! A Mdigo eeeh?? Interesting...lol

aahaha didi mbona unashangaa!! yaani mimi ni coast to coast! mama mdigo a mombasa.. baba wa tanga !
 
Aisee haya mambo ya mitandao,bora tunavyoishi na ID zisizoeleweka manake waweza poromosha mikashfa kwa mama-mkwe..,sasa nshaelewa mipasho inapotoka kumbe wa Kariakoo,..

Bi mkubwa FF Hongera sana..
 
i am so flattered wifi. ila kama unavyosema eti mtu anaacha mume au mke coz hatandiki kitanda! kuna funny stories,afu mtu anakuambia anam-admire mumeo. angejua akimpewa wala hamrudishi atamuulia huko huko na kuteta ile picha kwenye frame (wakristo wanaweka juu ya jeneza). kuna issues zinavumilika,japokuwa kuna nyingine ukiambiwa hauna second decision zaidi ya mbio, u know kupigwa ni namba moja on the list ya yasiyosameheka! nadhani wifi tunahitaji uzi mwingine wa kwa nini ndoa zetu haziwi kama za kina FF, japo wanaonekana wakorofi humu JF lakini nyumbani (where it matters the most) wanayaweza.

Wifi nimependa ulooelezea katika post... na hio purple naona kweli inabidi tufanyie kazi...tena ASAP!!
 
aahaha didi mbona unashangaa!! yaani mimi ni coast to coast! mama mdigo a mombasa.. baba wa tanga !

At least sasa i understand the originality ya your interest in Bollywood...lol
 
Aisee haya mambo ya mitandao,bora tunavyoishi na ID zisizoeleweka manake waweza poromosha mikashfa kwa mama-mkwe..,sasa nshaelewa mipasho inapotoka kumbe wa Kariakoo,..

Bi mkubwa FF Hongera sana..

Hii nimeipenda.... very funny in a logical way.
 
nakuaminia wifi yangu. natamani ungeanzia kwenye jinsi ya kuchagua mchumba. wengine washika bunduki, ukigandisha macho kwenye them lips and big beautiful eyes inakula kwako mazima! thanks in advance

Wifi nimependa ulooelezea katika post... na hio purple naona kweli inabidi tufanyie kazi...tena ASAP!!
 
Hongera FF, miaka 30 kwenye ndoa sio kazi ndogo. Lakini kubwa ni namna unavyoweza kujichanganya kwenye hili jukwaa na watu mbalimbali ambao wengi wewe unaweza hata kuwa 'mama' yao. Hongera sana.
 
nakuaminia wifi yangu. natamani ungeanzia kwenye jinsi ya kuchagua mchumba. wengine washika bunduki, ukigandisha macho kwenye them lips and big beautiful eyes inakula kwako mazima! thanks in advance

ha ha ha... my wiii....

All thanks to you thou.... Really appreciate your input.
 
WELL,WELL,WELL, pongezi nyingi FF,fortunately radar zangu zimeshindwa kukujua but it happens to be,baada ya kusoma maandiko yako humu JF,i was really curious huyu mtoto from an unlikely source kariakoo anayetuweka on our toes constantly ni nani? a bit of homework, na memory jolts from associates nikafanikiwa kumjua husband wako-from then on mimi ni APPRECIATION,tupu-once again congratulations for reaching this landmark
 
Son of A it is a pleasure kukuona .... it has been really long na nimefurahi ... genuinely...

I do hope you are well and good....
 
Duu miaka 30 ya ndoa si jambo dogo, maana hizi ndoa zetu za siku hizi ni hekaheka tupu, mnaoana asubuhi mnaachana jioni, Dada faiza hongera sana wewe na mumeo ni jambo la kumshukuru m'mungu kwa kuwajaalia kufikia umri huo mliofikia kwenye ndoa yenu ......
 
Faiza Foxy... a Complicated, Strong, Highly opinionated, Abundantly knowledged,
Controversial, Impressive, Resilient (as per MTM) Lady at JF if any....

It seems you are not only aggressive at JF - BUT at life it self and Success in
Marriage institution as a whole... THUS 30 Years of it!!!

Ni wanawake wachache mno... mno... tunaweza tunza ndoa zetu na kufikisha
umri mkubwa... Kufikisha 30 years of your marriage today na gozi
lako hilo hilo unastahili Pongezi Dear.....
Hongera saaana.

:A S-rose:.....HAPPY 30TH ANNIVERSARY DEAR...:A S-rose:

P.S. Naombe ushee siri ya mafanikio ya kuweza fika hapo....

YAANI....yaaani...yaani FF yuko 30years behind bars!
Nilkuwa na mpango wa kifashisti kukaribia ngome yake na kuiteka.
Tulipambana kulee...milima ya mkanyageni, loved it all the way!!!
Kumbe I am over 30 years late-she's still a beutiful chick ,AshaDii tell her to keep it up,there aint more like her where they come from!!!!!
 
Hii post imenifanya ni smile mpaka angles ziume....lol..

hope it does the same to her.... Msg delivered...
 
Faiza Foxy... a Complicated, Strong, Highly opinionated, Abundantly knowledged,
Controversial, Impressive, Resilient (as per MTM) Lady at JF if any....

It seems you are not only aggressive at JF - BUT at life it self and Success in
Marriage institution as a whole... THUS 30 Years of it!!!

Ni wanawake wachache mno... mno... tunaweza tunza ndoa zetu na kufikisha
umri mkubwa... Kufikisha 30 years of your marriage today na gozi
lako hilo hilo unastahili Pongezi Dear.....
Hongera saaana.

:A S-rose:.....HAPPY 30TH ANNIVERSARY DEAR...:A S-rose:

P.S. Naombe ushee siri ya mafanikio ya kuweza fika hapo....

This is what I have to say;

Today wasn't a surprise to me. The surprise was in a form I could never have imagined, Gozi, my Gozi knew what would be a surprise for me, he planned and a good plan indeed it was. A surprise plan, I never love surprises and he knows it. This is how surprised I was:

  • My Boys, two of them are here now, they were here even before I knew it! The were here two days back, my boys, one lives in Canada and one lives in Scotland (studies in Scotland).
  • My Daughters, one lives in Oman (married), one lives in Detroit (married), are all here and I never knew it.
They planned with their Dad to be here without letting me know. Can you believe it? I couldn't!

My Gozi, took my phone last night and switched it off! reason? its our cerebration and he needs all the attention (that was his reason). It wasn't true. The true reason was, he knew one of my boys (my first born) living in Canada, would call me and ruin the surprise. he was not worried of all the others, they are all Dad's.

Early morning my Gozi goes out, as norm, an hour later, knock, knock, knock (not normal at all), I open the door and my last born (the tallest) is face to face with me! while still trying to figure out if I was awake or still asleep, the rest of them show up giggling, the were just behind him!

Imagine my reaction! was I dreaming? No! please God, its not a dream. Indeed it wasn't a dream. Their Dad appears, smiling foolishly, as when he is guilty of mischief, didn't want to embarrass him in-front of the bunch.

What would you call it? Surprise, surprise, surprise.

The other surprise was when I was given my phone back and I happened to just sneak-pick on what goes on at JF, wasn't I surprised to see this thread? No. I was not surprised to see the thread because AshaDii told me way back she will wright something on my 30th anniversary. The surprise was how beautiful she wrote it, short, articulate and to the point. The response her thread got, was even a bigger surprise.

The least I can say, Thank you all. I wish I would have time to answer all the posts.

I cried and cried and cried, first for reuniting with my loved ones and 2nd for seeing those whom I spent most of my time recently arguing with, flirting with, agree on some points with others and some who dared to even make friends with me, of course its you peoples, my unseen friends, the family which was there when I needed it most, my virtual family and friends who kept me busy and out of misery when my children and my Gozi weren't around. I can not explain it better. I love you all.

Nawaomba niliowaudhi mnisameh sana, niliowakosea msinichukie kwa kukosana tu kwa maandishi yetu hapa JF.

Leo nimeamini kuwa sote ni kitu kimoja, ni binaadam tunaopendana bila kujali itikadi zetu za kidini, kisiasa, kijamii. Mmenifanya nilie sana, kwani hata aliyeniponda, alijitahid anisifu. Nawashkuru na nnawapenda wote.

Shukrani zangu za dhati ziende kwa pacha wangu AshaDii, kwa nyuzi nzuri ambayo sikutegemea. Wengine wote ntawajibu post zenu, kila mmoja ki vyake.

Gozi limelala, nimelichokesha, nililiambia 30 iwe 30 ki ukweli. Loohhh, akajitahid ikawa mbili na nusu! bado ana deni la 27 na nusu!
 
Back
Top Bottom