=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Nafikiri Mume wake lazima awe Mzungu au Mzungu design kwa kutawaliwa na FF....

Nampa HONGERA kwa kujipatia kakoloni kake kama Tanganyika ilivyo kwa Wazanzibar (Wazenji wanadai hivyo).

Miaka 30 si nyingi sana......ohhhhh, eti nini? Miaka 30 ndani ya ndoa? Khaaaa!!! Miaka yote hiyo mwanamume mmoja?

Siamini, kama wote, siamini Yeye na Yeyeeee..... Ila atakuwa mpenzi wa nyimbo za Ludacris.....



Utani Pembeni: Hongera sana mamaa FF. Kumbe ni mama na heshima yako? Samahani kwa Taarabu zote nilizokurushia. Heshima kwa mbele kuanzia leo. Ila sasa na wewe bana, kuwa basi kama mama mwenye ndoa ya miaka 30 basi. Hongera sana sana na tunasubiri miaka 50 ya ndoa yenu.




Sikonge post yako imenichekesha mno... bana Asante kwa kuniunga mkono kumtakia kheri dada.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nampongeza huyo mwanaume,kwani anaonyesha ni mvumilivu kama mimi.
Na mimi nina mwanamke mtata kama ff.
By the way nawapongeza wote,mimi nina 9.bado 21 nikukamate ff.
 
Hapo umeniacha kwenye kona. Ukihesabia na yeye vipi?


Yaani kama i was married mara ya kwanza maybe two years...

Alafu saizi maybe nina four years of marriage... naweza jumlisha?? lol

Ili tu nipate ile zawadi, na 30th ann ifike haraka....
 
Mimi nampongeza huyo mwanaume,kwani anaonyesha ni mvumilivu kama mimi.
Na mimi nina mwanamke mtata kama ff.
By the way nawapongeza wote,mimi nina 9.bado 21 nikukamate ff.


Naona bado safari ndefu kaka.... but mpaka umefika 9 na ni mtata

it seems ni perfect fit kwako.... BRAVO.
 


Faiza Foxy... a Complicated, Strong, Highly opinionated, Abundantly knowledged,
Controversial, Impressive, Resilient (as per MTM) Lady at JF if any....

It seems you are not only aggressive at JF - BUT at life it self and Success in
Marriage institution as a whole... THUS 30 Years of it!!!

Ni wanawake wachache mno... mno... tunaweza tunza ndoa zetu na kufikisha
umri mkubwa... Kufikisha 30 years of your marriage today na gozi
lako hilo hilo unastahili Pongezi Dear.....
Hongera saaana.

:A S-rose:.....HAPPY 30TH ANNIVERSARY DEAR...:A S-rose:

P.S. Naombe ushee siri ya mafanikio ya kuweza fika hapo....

Hongera kwa kujipongeza mwenyewe, hivi ndio vituko vinavyonifanya niipende JF.
 
asha unamfuatilia xana wow! Wow! Hii inamaana wewe na yeye ndo yule yule ambae walikua wanasema ni mtu mmoja??


Zile allegations kwamba sie ni mtu mmoja imetufanya tuwe karibu...
tunawashukuru wana JF kwa kweli kutukutanisha... Siwezi ogopa kumpongeza
ukweli ulo wazi sababu tu watu wenye uvivu wa kufikiri watajua ni mtu mmoja na kwamba najipongeza....
 
Back
Top Bottom