=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Unapenda la nyama ya mbuzi, Ng'ombe au kondoo?

Yule dada wa Mandi hukumpigia, nilimuuliza kama kapata oder ya mandi kutoka kwa Ritz. Halafu hii Ritz, naikumbuka dry cleaner ya zamani ilikuwa pale Empress Cinema ikiitwa Ritz Dry Cleaners, any relation? siku hizi naona kuna Bureau de change pale.
 
Naikumbuka ile Dry Cleaners, hapana majina tu yanafanana, yule Dada lazima tamtafuta hapa katikati nilikuwa nimebanana kidogo
 
mmh uliolewa na miaka mingapi, kama ni above 20 kumbe humu ndani kuna vibibi

hongera mwaya
 
karibu mama, hongera zako tele. tunashukuru kukuona tena, nadhani mmemalizana na mods. hongera tena tulikumiss sana

ubarikiwe
 
Ahsante. Nawe pia Mwenyeezi Mungu akubariki sana, akuepushie kila shari na akujaalie katika kila jema ulifikirialo.
 
congrats for being promoted to premium status

i have to say i admire your courage,and standing up for what you believe

hongera sana kwa hiyo miaka thelatha na zaidi
 
Thanks. Thelathini bwanaa.
 
Back
Top Bottom