Bifu gani ilitikisa Taifa?

Bifu gani ilitikisa Taifa?

Sheria ya Makosa ya mtandao na sheria ya Posta na simu VS Maxence Melo .
Post zenu humu zilimpandisha mdau ubaoni kwa Pilato.
 
Deo Kisandu a.k.a DON Namilitoni Vs Sheikh Shariff Majini.
Kisandu Vs Polisi - Hatimae polisi wakamfunga mtu mgonjwa ( neural ....)
 
Huu uzi umecopy kwenye nyuzi za nyuma haya yote yalishajadiliwa
 
Jay Dee vs Ray C

Mmoja anamdiss mwenzake kwa uraibu wa ngada, mwenzae anamnyuka kwenye ugumba

Moreover, unajifunza kwamba mabifu yote yanatokana na vita vya Mapenzi, Pesa, Mamlaka na Umaarufu.
Napenda wakianza kuchambana insta, nakuaga upande wa Ray C.
😂😂😂😂😂😂
 
East Coast (Upanga akina Crazy GK) vs TMK (wa uswahilini akina J Nature)
 
IGP Omar Mahita Vs CUF wazee wa Nguguli.
Mahita akaibuka na visu vyenye mpini wa rangi ya samawati (blue) kwenye Press.
 
Mtikila vs Jamhuri
Kesi ya mgombea binafsi.
Mtikila akaishinda Jamhuri ingawa haikutekelezwa hadi amekufa.
 
Back
Top Bottom