Bifu la Simba na YangaZimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu
1. Ruge na Sugu
Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta
2 TMK halisi na TMK family
Lilikuwa kundi Moja baada ya kutengana aisee ilikuwa bonge la bifu
3 Ali kina na Diamond platnimuz
Hili bifu bado lipo baada ya diamond kumwonyesha dharau kina Kwa Kufuta sauti yake kwenye wimbo wa lala salama
4 Dudu baya na Mr Nice
Hili lilikuwa bonge la bifu
Dudu baya alijipigia Mr Nice kadri alivojisikia
5 Madee na Nay wa mitego
Hawa waligombania urais wa Manzese.
Aisee moto uliwaka
6. Roma na Joh Makin
Hawa walikuwa na bifu ya kugombania ukanda wa Kaskazini
Wote kwenye peak Yao hawakuwahi kufanya collabo
7 Jay Dee na clouds media
Nyimbo za j Dee hazikupigwa clouds baada ya clouds kumpa kazi Gardner aliyekuwa X wa J de
8 Sholo Mwamba na Man Fongo
Hawa waligombania ufalme wa Singeli
9. TID na Q Chilla
Hili bifu lilitisa
10 Haji Manara na Maulid Kitenge
Hawa wana bifu na Huwa haziishi licha ya wanasiasa kuingilia kusuluhusha
Sijui walifanyiana Nini hawa wazeee
Hili ndiyo bifu moja matata,, mpaka mtu akapelekewa mtoto mkaliii akijua demu kumbe mpango wa Christian....ShiteeeMakonda na Gwajima
Yaani Bifu ya Kalapina imesahaulika kweli,,, kushikiana mapanga siyo poa ujue....Hizo bifu ziliwatikisa wao na shabiki zao, sio Taifa
Hii mbona sijawahi kuiskia 😂😂😂
Uzi wa tangu 2023. Kina bifu mpyaUzi ufutwe![]()
Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk
Dah halafu ujue Guru Jamaa Hazeeki nilikutana naye siku moja mpaka nikashangaa Dah... Ila Guru na Pfunk walikuwa na Roho kama zinafanana tu kwa Hali yake wanafaa kulaumiwa kuhusu kupotea kwa wasanii mbalimbali Siku moja Mr. Blue alikua anafanya interview akaongea kwa uchungu sana, natoa ngoma...www.jamiiforums.com
Ebu niambiye hii ya Tag na EAGTKuna la Kakobe na gwamanywa vs manabii
Bashite na Gwajima
Kuhani Musa Vs Kiboko ya wachawi
KULOLA NA MWENZIE NDIO IKAZAA TAG NA EAGT
Bifu la mwashambwa na akili,mwashambwa haipendi akili na akili haimpendi
Dr manyau nyau na mwenzie jana au niffer na fahyma au tufanye nandy na zuchu au mwamba Tundu Antipas Lisu na bibieUzi wa tangu 2023. Kina bifu mpya