Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,908
- 27,406
Mwijaku na Masoud Kipanya.
NitakutafutiaEbu niambiye hii ya Tag na EAGT
Manji na JiweZimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu
1. Ruge na Sugu
Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta
2 TMK halisi na TMK family
Lilikuwa kundi Moja baada ya kutengana aisee ilikuwa bonge la bifu
3 Ali kina na Diamond platnimuz
Hili bifu bado lipo baada ya diamond kumwonyesha dharau kina Kwa Kufuta sauti yake kwenye wimbo wa lala salama
4 Dudu baya na Mr Nice
Hili lilikuwa bonge la bifu
Dudu baya alijipigia Mr Nice kadri alivojisikia
5 Madee na Nay wa mitego
Hawa waligombania urais wa Manzese.
Aisee moto uliwaka
6. Roma na Joh Makin
Hawa walikuwa na bifu ya kugombania ukanda wa Kaskazini
Wote kwenye peak Yao hawakuwahi kufanya collabo
7 Jay Dee na clouds media
Nyimbo za j Dee hazikupigwa clouds baada ya clouds kumpa kazi Gardner aliyekuwa X wa J de
8 Sholo Mwamba na Man Fongo
Hawa waligombania ufalme wa Singeli
9. TID na Q Chilla
Hili bifu lilitisa
10 Haji Manara na Maulid Kitenge
Hawa wana bifu na Huwa haziishi licha ya wanasiasa kuingilia kusuluhusha
Sijui walifanyiana Nini hawa wazeee
Hapo zilizokuwa bifu serious ni namba 1, 3, 4 na 7 tu hayo mengine ya kawaida sanaaaZimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu
1. Ruge na Sugu
Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta
2 TMK halisi na TMK family
Lilikuwa kundi Moja baada ya kutengana aisee ilikuwa bonge la bifu
3 Ali kina na Diamond platnimuz
Hili bifu bado lipo baada ya diamond kumwonyesha dharau kina Kwa Kufuta sauti yake kwenye wimbo wa lala salama
4 Dudu baya na Mr Nice
Hili lilikuwa bonge la bifu
Dudu baya alijipigia Mr Nice kadri alivojisikia
5 Madee na Nay wa mitego
Hawa waligombania urais wa Manzese.
Aisee moto uliwaka
6. Roma na Joh Makin
Hawa walikuwa na bifu ya kugombania ukanda wa Kaskazini
Wote kwenye peak Yao hawakuwahi kufanya collabo
7 Jay Dee na clouds media
Nyimbo za j Dee hazikupigwa clouds baada ya clouds kumpa kazi Gardner aliyekuwa X wa J de
8 Sholo Mwamba na Man Fongo
Hawa waligombania ufalme wa Singeli
9. TID na Q Chilla
Hili bifu lilitisa
10 Haji Manara na Maulid Kitenge
Hawa wana bifu na Huwa haziishi licha ya wanasiasa kuingilia kusuluhusha
Sijui walifanyiana Nini hawa wazeee
Hii yenyewe 😂😂Makonda na Gwajima
Hii yenyewe 😂😂Makonda na Gwajima
No reforms no election vs Kizimkazi
Kiranga na mwenzake infro ndo wanajikuta ma baba wa atheist ⚛️Wafia dini Vs Atheists chini ya uangalizi wa Kiranga