Bifu gani ilitikisa Taifa?

Bifu gani ilitikisa Taifa?

bifu la milele ni:-
Dar vs Mkoani.
»wakazi wa dar wanajiona wao ni bora zaidi hapa TZ.
»wakazi wa mkoani wanawaona watu wa dar km wazembe wazembe jazz band, eti wanapenda kazi laini laini km MAINI.
 
Back
Top Bottom