Bifu gani ilitikisa Taifa?

Bifu gani ilitikisa Taifa?

Ngoja nikupe za kihenga henga
Sister p na Zay b
Hao mpaka wazazi walihusika
Mzee machache na balozi masili..... balozi akasema sababu inamiliki Tv ndiyo maana sikumbuku bifu lao lilikuwa nini?
 
Kuna la Kakobe na gwamanywa vs manabii
Bashite na Gwajima
Kuhani Musa Vs Kiboko ya wachawi
KULOLA NA MWENZIE NDIO IKAZAA TAG NA EAGT
 
No reform no Election

Hapo hamna bifu ukitoa hiyo ya Sugu na Ruge ya kunyanganywa dili la marelia na Ruge ambalo lingempatia utajiri mkubwa.
 
Mi najua mabifu ya katuni kwenye magazeti tu Lodilofa na comrade kipepe
 
Zimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu

1. Ruge na Sugu
Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta

2 TMK halisi na TMK family
Lilikuwa kundi Moja baada ya kutengana aisee ilikuwa bonge la bifu

3 Ali kina na Diamond platnimuz
Hili bifu bado lipo baada ya diamond kumwonyesha dharau kina Kwa Kufuta sauti yake kwenye wimbo wa lala salama

4 Dudu baya na Mr Nice
Hili lilikuwa bonge la bifu
Dudu baya alijipigia Mr Nice kadri alivojisikia

5 Madee na Nay wa mitego
Hawa waligombania urais wa Manzese.
Aisee moto uliwaka

6. Roma na Joh Makin
Hawa walikuwa na bifu ya kugombania ukanda wa Kaskazini
Wote kwenye peak Yao hawakuwahi kufanya collabo

7 Jay Dee na clouds media
Nyimbo za j Dee hazikupigwa clouds baada ya clouds kumpa kazi Gardner aliyekuwa X wa J de

8 Sholo Mwamba na Man Fongo
Hawa waligombania ufalme wa Singeli

9. TID na Q Chilla
Hili bifu lilitisa

10 Haji Manara na Maulid Kitenge
Hawa wana bifu na Huwa haziishi licha ya wanasiasa kuingilia kusuluhusha

Sijui walifanyiana Nini hawa wazeee
Hizo bifu ziliwatikisa wao na shabiki zao, sio Taifa
 
Hakuna bifu za kutikisa nchi. Watu mnagombana kisa mademu au umaarufu ndiyo nchi itikisike? Wasanii wengi mabifu yao Ni kwa sababu ya usupastaa, "kwamba Mimi Ni Bora zaidi yako".
Fid Vs Joh
J Nature Vs Chillah
Seleman Vs Ditto
Seleman Vs Solo Thang
Sister P Vs zay B
Wema Vs Wolpa

Bifu zinatengenezwa ili watu wapige Pesa.
 
Back
Top Bottom