Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

Shida wakiachiwa wanataka kuambukiza wengine, hawa mbona wapo tokea muda tu na walikua wanaendelea na mambo yao hakuna mtu anakua na muda nao , shida kwa sasa haya mambo wanayalazimisha kabisa na wanaweka pesa nyingi huko kulazimisha hayo mambo yaonekane ni ya kawaida kwenye jamii na target kubwa ni watoto sio watu wazima wanaojielewa
Linda mtoto wako.

By the way watoto wa siku wao wenyewe kwa wenyewe wana lawitiana sijui utasema nani hasa anawafundisha ?

Nikuambie kitu hizi shule za uboyizini na girls hasa kwa wavulana na mabinti wa kike hasa O- level walio katika age ya mchecheto ni mbaya sana huko ndipo kufirana na kusagana wanapoanzia.

Huwezi fuga madume sehemu mmoja hii ni hatari na tena wazazi wa sasa kitoto toka primary ni hostel tu mpaka form six chances ni kubwa sana ya kuwa msenge.
 
Kwaiyo mtu akiamua kuvuta bangi au madawa ya kulevya tumwache tu
Bangi na mirungi kuna sehemu nyingi duniani vinaruhusiwa, huo ni mjadala mwingine.
Madawa makali ya kulevya kama Heroine na Cocaine yana madhara makubwa kwa mtumiaji na jamii inayomzunguka ndio maana yanapigwa marufuku duniani kote, lakini ni vyema pia ukafahamu kuna wakati hizo unazoita dawa za kulevya zinatumika kwa matibabu ya kupunguza maumivu pia.
 
Salaam, shalom!!

Nchi hii inahitaji mashujaa aina ya Mh Harrison Mwakyembe, Haiwezekani kitabu kitakatifu, neno la Mungu kuchakachuliwa na kuwekwa mambo maovu yanayohusu vitendo vya ushoga, na kuingizwa nchini Kupitia masharti ovu ya misaada.

Akizungumza katika press conference iliyoandaliwa na Tengwa Tv chini ya Mwalimu Tengwa, amesema tayari Kuna BIBLIA zimeingizwa nchini zilizochakachuliwa na kuingizwa mafundisho ya USHOGA Ili huingiza Elimu hiyo ovu nchini Kupitia Taasisi Toka nje.

Tunahitaji viongozi wa aina ya Mh Harrison Mwakyembe Ili kuongeza nguvu ya kupinga LAANA hii Kwa Taifa letu, tunakuhitaji Ili kukomesha vikundi na Taasisi hizi za UOVU Toka nje wenye Nia ya kuharibu vizazi vyetu vijavyo Kwa kuharibu watoto wetu kuanzia mashuleni Kwa kueneza Elimu ya UOVU wa ushoga.

Ifikapo 2025, Tia Nia Jimbo lolote na Kwa chama chochote, utashinda.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Source: Tengwa Tv.
 
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.

Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.

View attachment 2964514
MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.

Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.

Nawasilish
Hujui maana ya biblia, maanayake ni kitabu

Kitabu Cha mungu kitaongelea maadili tu. Kama kitabu hakina maadili ni batili

Ni makosa kuhusisa dini flani ukosefu wa maadili
 
Linda mtoto wako.

By the way watoto wa siku wao wenyewe kwa wenyewe wana lawitiana sijui utasema nani hasa anawafundisha ?

Nikuambie kitu hizi shule za uboyizini na girls hasa kwa wavulana na mabinti wa kike hasa O- level walio katika age ya mchecheto ni mbaya sana huko ndipo kufirana na kusagana wanapoanzia.

Huwezi fuga madume sehemu mmoja hii ni hatari na tena wazazi wa sasa kitoto toka primary ni hostel tu mpaka form six chances ni kubwa sana ya kuwa msenge.
Mtoto ana controliwa na kila kitu kilichokuepo kwenye matrix ,kuanzia kelele za majirani, redio, tv ,ndugu , nk hili jambo jamaa nguvu waliyowekeza ni kubwa si jambo la mtu mmoja tu kupambana kivyake,,,,,,wanaoelewa shida ya hili jambo wameshachukua hatua,, shida huku kupenda misaada kutatuangamiza
 
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.

Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.

View attachment 2964514
MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.

Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.

Nawasilisha.
Wewe ni mwislamu,

Waislamu hawako salama pia,

Quran imechakachuliwa, IPO Surat Rihhana.
 
Uhuru wa Ukristo ni jambo la kujivunia na kulifurahia sana, sio sahihi kushambulia na kubeza freedom na diversity iliyopo katika Ukristo.
katika ukristo hakuna freedom na diversity unayosema, ushoga ni dhambi, usagaji ni dhambi. hayo hayapo kwa wakristo tu, ingekuwa hivyo zanzibar, mombasa, tanga na Lamu kusingekuwa na mashoga wengi kuliko bara. juzi hapa takwimu za waziri wa zenji alisema zanzibar pekee kwenye wanadamu hata 2m hawafiki, kuna mashoga zaidi ya 3,000 meaning na mashasha zaidi ya 3,000. wote hao wanaswali na juzi kwenye mfungo walikuwa wanapiga viboko wakristo wasiofunga. hiyo ni dhambi ya kishetani inayoweza kumpata mtu wa dini yeyote.

Biblia katika warumi 1:26 inakataza ushoga na usagaji na inaahidi adhabu ya moto wa milele kwa matando kama hayo. sio kama ndugu mashia wanaoamini kila tobo ni suna, hata kuingilia kinyume ni ruksa. Noo.
 
Ushoga ni jambo linalotakiwa kufanyiwa kazi na makanisa, misikiti na mahekalu.
Serikali inatakiwa ijikite kufanya mambo ya maendeleo na ulinzi wa nchi.

Maendeleo ya kijamii
Maendeleo ya kiuchumi
Maendeleo ya kisiasa
Maendeleo ya kisayansi na teknolojia.

Hayo mambo ya ushoga, wizi, madawa ya kulevya, ubakaji, ulawiti, ufiraji yapo kwenye ishu ya kijamii. Kuyakomesha ndio huitwa maendeleo ya kijamii.

Kwa nini unasema Ni petty ishu Wakati huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine?
 
Kwa heshima kabisa naomba niseme hawa ni wapumbavu hawajui wanachokiongea. Ifike mahali vyombo husika vihoji ajenda waliyonayo hawa watu.

Kuna jambo mahali halipo sawa, utashtuka hawa wanaupenyeza taratibu kimkakati sana umoja wa LGBTQ.

Mwafrika anapambana na tabia mbaya kwa kutokuzizungumzia, yaani zinakuwa ni mwiko. Hapa kuna ajenda ya ziada tena nzito sana.

Hatuwezi kupambana na LGBTQ kwa mtindo huu, huku sio kupambana nao ni kuueneza zaidi na zaidi. Muda utaongea.
 
Wewe ni mwongo.

Hakuna biblia yenye kuhalalisha au kushabikia ushoga. Yakiingizwa mambo ya ushoga au mambo mengine ambayo hayajakuwemo kwenye biblia, haiwi biblia.
 
katika ukristo hakuna freedom na diversity unayosema, ushoga ni dhambi, usagaji ni dhambi.
Kwanza mimi freedom na diversity nayoingolea katika Ukristo sio hiyo ya ushoga na wasio mashoga, Mimi nazungumzia Katoliki, Ulultheri, Usabato, Pentekoste n.k na hata hao waliochapisha hizo biblia ambazo Mwakyembe anatamani kungekuwa na mamlaka moja ya kudhibiti Ukristo ili ziharamishwe.
Hilo suala la ushoga na ukristo nakuachia ubishane na Anglican pamoja na papa.
 
papa si ndo kwa katoliki uliyoitaja sasa ndugu?
 
Bangi na mirungi kuna sehemu nyingi duniani vinaruhusiwa, huo ni mjadala mwingine.
Madawa makali ya kulevya kama Heroine na Cocaine yana madhara makubwa kwa mtumiaji na jamii inayomzunguka ndio maana yanapigwa marufuku duniani kote, lakini ni vyema pia ukafahamu kuna wakati hizo unazoita dawa za kulevya zinatumika kwa matibabu ya kupunguza maumivu pia.
Ushoga ni kinyume cha tamaduni na maadili yetu
Mashoga hatuwezi kuwapa uhuru ili kuleta mmomonyoko wa maadili kwa watoto wetu

Huo ushoga huko unakotoka ni tamaduni zao
Ambao na wao hawatakubali tamaduni zetu
 
Kwa heshima kabisa naomba niseme hawa ni wapumbavu hawajui wanachokiongea. Ifike mahali vyombo husika vihoji ajenda waliyonayo hawa watu.

Kuna jambo mahali halipo sawa, utashtuka hawa wanaupenyeza taratibu kimkakati sana umoja wa LGBTQ.

Mwafrika anapambana na tabia mbaya kwa kutokuzizungumzia, yaani zinakuwa ni mwiko. Hapa kuna ajenda ya ziada tena nzito sana.

Hatuwezi kupambana na LGBTQ kwa mtindo huu, huku sio kupambana nao ni kuueneza zaidi na zaidi. Muda utaongea.
Ukigundua mmoja wa wanao ameanza TABIA ya wizi,

Utamkemea hadharani mbele ya wenzie Ili ajifunze au utamnyamazia kama unavyosema?
 
Back
Top Bottom