Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

Ushoga ni kinyume cha tamaduni na maadili yetu
Mashoga hatuwezi kuwapa uhuru ili kuleta mmomonyoko wa maadili kwa watoto wetu

Huo ushoga huko unakotoka ni tamaduni zao
Ambao na wao hawatakubali tamaduni zetu
Utamaduni haudhibitiwi kwa sheria na mkono wa serikali. Serikali haitakiwi kutunga sheria kwamba kila kijana anapomkuta mzee amsalimie shikamoo
 
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.

Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.

View attachment 2964514
MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.

Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.

Nawasilisha.
Kila raia, awe kiongozi au asiye na cheo ana wajibu wa kulinda jamii na nchi kwa ujumla.
Hakuna sababu ya kuitia hofu jamii kwa kutoa taarifa kama hizi hadharani, wasambazaji na wauzaji ni maadui wa ustawi wetu, hasa kwa vizazi vijavyo, wanatakiwa washughulikiwe na kumalizwa kimya kimya.
Kama taarifa inatolewa hadharani, basi iwataje na hatua zichukuliwe mara moja. Jamii na serikali vichukue hatua kwa wakati mmoja.
Kufanya utafiti kama huu na kutoa maelezo ya mzunguko siyo sawa hata kidogo.
Maadili mema kwa jamii na taifa hayana ukristo, uislamu na hata upagani. Ustawi wa jamii yetu ni zaidi ya ukristo, uislamu, ....
Tunahitaji kumjua Mungu ambaye ndiye KWELI ituwekayo huru.
 
Tunahitaji viongozi wa aina ya Mh Harrison Mwakyembe Ili kuongeza nguvu ya kupinga LAANA hii Kwa Taifa letu,
Hatuko serious ktk hili suala. Naona kama tunajichetua tu.

Yaani tunapambana na vitabu badala ya kupambana na mmomonyoko wa maadili wa jamii yetu? !!!

Hakuna mashoga Tanzania? Wameibukaje na wanaeneaje? Kama mashoga wapo nchini na wanaongezeka kila siku, je taifa halijapata laana tu? Au laana inasubiri vitabu?

Waafrika unafiki utatufikisha pabaya.
 
Salaam, shalom!!

Nchi hii inahitaji mashujaa aina ya Mh Harrison Mwakyembe, Haiwezekani kitabu kitakatifu, neno la Mungu kuchakachuliwa na kuwekwa mambo maovu yanayohusu vitendo vya ushoga, na kuingizwa nchini Kupitia masharti ovu ya misaada.

Akizungumza katika press conference iliyoandaliwa na Tengwa Tv chini ya Mwalimu Tengwa, amesema tayari Kuna BIBLIA zimeingizwa nchini zilizochakachuliwa na kuingizwa mafundisho ya USHOGA Ili huingiza Elimu hiyo ovu nchini Kupitia Taasisi Toka nje.

Tunahitaji viongozi wa aina ya Mh Harrison Mwakyembe Ili kuongeza nguvu ya kupinga LAANA hii Kwa Taifa letu, tunakuhitaji Ili kukomesha vikundi na Taasisi hizi za UOVU Toka nje wenye Nia ya kuharibu vizazi vyetu vijavyo Kwa kuharibu watoto wetu kuanzia mashuleni Kwa kueneza Elimu ya UOVU wa ushoga.

Ifikapo 2025, Tia Nia Jimbo lolote na Kwa chama chochote, utashinda.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Source: Tengwa Tv.
Ushujaa wake ni upi?
 
NGO na ushoga hii iko wazi kabisa.

Kuna members fulani NGO ambayo iko funded na america,toka wamefungua branch yao hapa mtaani karibu kila mwezi anakuja ngozi nyeupe ghetto kwa huyo member wa NGO wanakulana huko ndani siku nzima jion anaondoka na GSM yake.

Kamuharibu huyo kijana wa watu mtaa mzima sasa unajua ni gay yani ata tembea hulka maongezi ni gay kabisa na wako wawili
 
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.

Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.

MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.

Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.

Nawasilisha.

PIA SOMA
- Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

- Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini

- Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?
Ushoga ulikuwepo, Upo na utaendelea kuwepo hapa duniani, whether we like it or not, but this is the bitter truth.
Kwa hapa Tanzania, this tragedy has reached the point of no return. It is the matter of time before it becomes to be decriminalized.
 
So mitume, manabii, waamuzi, marabi nao wanakuwa machoko humo ? Aloo
Mnawasema mashoga na machoko mnawasahau wanawake wenye madaraka wanasagana nje nje. Wengine Ni wabunge, wakurugenzi, wakuu wa taasisi. N.k ( konda boy mpelelezi wa taifa anaweza kua na majina Yao)
Ukikemea ushoga na usagaji uukemee pia.
 
Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye maadili na kuchomekea vifungo vya kishoga kama inavyoelezwa kwenye video hii hapa chini.

Kana kwamba hilo halitoshi, biblia hizo zimeanza kutafsriwa kwa Kiswahili ili ujumbe wa kishoga uwafikie wote watakaozisoma. Serikali isipokuwa makini kudhibiti uagizaji na uingizaji wa biblia hizo, nchi nzima itatumbukia kwenye ushoga na usagaji; hakuna atakayepona, awe mkristo au muislamu.

MAONI YANGU
Mara nyingi watu wamekuwa na mtazamo hasi kwamba vitendo vya kishoga vinaanzia uarabuni kumbe sasa kila mtu anaona kuwa vitendo hivi havina mipaka na kwamba vinaweza kutokea mahali popote, iwe Magharibi au Mashariki.

Kwa kweli kama alivyosema Mwakyembe, ni vigumu sana ushoga kuingia kupitia kwenye korani kwa kuwa waislamu wana msimamo mkali. Ni rahisi kupitia kwenye biblia kwa kuwa wakristo wamegawanyika sana na wengi wao ni wachumiatumbo. Wapo tayari kuuza utu wao kwa kipande cha fedha kama Yuda alivyomuuza Yesu. Mambo kama haya huwezi kuyaona kwa waislamu. Wakrito kuna mahali wanakwama sio bure.

Nawasilisha.

PIA SOMA
- Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

- Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini

- Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?
Huyu mnafiki alishapukutika kama vumbi mwache apumuzike
 
Mgeni wetu ameingia mgeni huyu mgeni ,amewaharibu watoto kwa peremende hata biscuti,mgeni huyu hatari
 
Mnawasema mashoga na machoko mnawasahau wanawake wenye madaraka wanasagana nje nje. Wengine Ni wabunge, wakurugenzi, wakuu wa taasisi. N.k ( konda boy mpelelezi wa taifa anaweza kua na majina Yao)
Ukikemea ushoga na usagaji uukemee pia.
Ushoga ndio kusagana ujue hilo
 
Shida wakiachiwa wanataka kuambukiza wengine, hawa mbona wapo tokea muda tu na walikua wanaendelea na mambo yao hakuna mtu anakua na muda nao , shida kwa sasa haya mambo wanayalazimisha kabisa na wanaweka pesa nyingi huko kulazimisha hayo mambo yaonekane ni ya kawaida kwenye jamii na target kubwa ni watoto sio watu wazima wanaojielewa
Kweli kabisa mkuu. Hawa wasenge wanataka kulazimisha kila kizazi kiwe cha kishoga. Haikubaliki hata kidogo. Serikali inaoswa kuongilia kati.
 
Hujui maana ya biblia, maanayake ni kitabu

Kitabu Cha mungu kitaongelea maadili tu. Kama kitabu hakina maadili ni batili

Ni makosa kuhusisa dini flani ukosefu wa maadili
Kwa hiyo akina Mwakyembe wanaongea uwongo mkuu? Hilo jambo haliwezekani?
 
Kwa heshima kabisa naomba niseme hawa ni wapumbavu hawajui wanachokiongea. Ifike mahali vyombo husika vihoji ajenda waliyonayo hawa watu.

Kuna jambo mahali halipo sawa, utashtuka hawa wanaupenyeza taratibu kimkakati sana umoja wa LGBTQ.

Mwafrika anapambana na tabia mbaya kwa kutokuzizungumzia, yaani zinakuwa ni mwiko. Hapa kuna ajenda ya ziada tena nzito sana.

Hatuwezi kupambana na LGBTQ kwa mtindo huu, huku sio kupambana nao ni kuueneza zaidi na zaidi. Muda utaongea.
Kwa hiyo mkuu tukae kimya huku watoto wetu wakifirwa? Are you serious or just kidding?
 
Back
Top Bottom