Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Hizo siku za weekendi 100,000 hadi 150k duh hizo papuchi zao zinakua na hali gani aisee, njaa mbaya sana😪
Yako ina hali gani? Maana huwa mnawasema wenzenu ambao wameamua kuwa open. Ninyi ambao tunakutana humu tunakuja kukutana mtaani tunadate na bado tunawapa pesa n.k haya mambo ni rahisi kunyooshea wale kidole huku nanyi tunawafahamu
 
Huyu mwandishi aliye andaa hii story ni 45+ hata njia alizotumia kuleta hii habari ni za kizamani sana. Hivi anaijua Telegram huyu?
Duh kule hapana wanawake hakuna siku iz... unaweza kutana na mdada mzuri ukajua umeopoa kumbe umeingi Choo cha kike ambacho hakina mlango..
 
Mmh sawa ila erection ni feeling sasa kwa mtu ambaye hata si mpenzi wako hiyo erection itatokea kweli na ukikumbuka huenda wewe ni wa 19 kuchovya
@financial services kuna watoa huduma wapo vizuri japo ni shida tu ila ukiwaona tu erection lazima itokee na akivaa vizuri akipita barabarani lazima boy wako amtokee maana unakuta anakuzidi wewe financial services shepu mpaka uzuri
 
makahaba hata Biblia imewatambua Rahabu, na Delila walikuwa ni official kabisa ujue hawa Dada zetu wanasaidia Sana ndoa zidumu na kesi zipungue . Ukiangalia kwa sasa mkoa wa Dar kesi za ubakaji zimeisha kabisa kwa sababu watu wanapata mahala pa kuutupa.

Wanasaidia ndoa zidumu mkuu?
How?

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Lambo walipataga sekeseke balaa. Kuna kijana alipata uchizi maskini. Sometimes yes sometimes no. Alawapeleka polisi, nimesahau kisa hasa ni nn. Walifungiwaga muda kweli. Siku hizi pamepooza baaalaa. Enzi hizo mafuso kama yote yanalala pale. Kuna mziwanda inn ndo wanapiga sana hizi mishe. Kwa mziwanda kijana aliachiwa nyumba urithi na wazazi wake. Wameshafariki. Yaan ni anawajaza wnaawake mimba balaa. Ana watoto balaa. Na wanawake wenza wanaishi hapohapo. Tena chumba kimoja na wanapika pamoja. Hutaki kwenu na no huduma.

Lambo wenyewe washafariki jamani. So hata kurudi kama enzi zile ngumu sana. Ila ilikuaga inabamba sana. Mwenyewe aliingiza sana pesaa miaka hiyo. Watoto wameshindwa kuendesha poa biashara
Unaijua Manzese vizuri
 
Mmh sawa ila erection ni feeling sasa kwa mtu ambaye hata si mpenzi wako hiyo erection itatokea kweli na ukikumbuka huenda wewe ni wa 19 kuchovya
Kwani hujui kuwa mwanaume anaweza kulala na yoyote ht km hampendi,sio mpenzi wake?
Wanawake ndo tumeumbwa na haya unayoyaongelea hapa,ukiacha wanaojiuza!

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom