Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Ni hatari sana na wanaume wanaonunua wana roho ngumu na hawana kinyaa yaani unajua kabisa unaweza ukawa ni 13 hivi kwa siku hiyo na bado unaenda na wewe sehemu walipotoka wenzio🤔
Mimi ni mwanaume, na hiki ndicho kinachonishinda kuchukuwa wanawake wa sampuli hii. Kuna kipindi nilipokuwa secondary school nilikuwa naweza, kwa sababu ya mkumbo wa ujana lakini siyo sasa. Kwanza nikifikiria hapa amemaliza sasa hivi kulala na mwanaume stimu zinakata kabisa. Halafu anakuwa hana hisia yoyote.
 
Hata mimi niko hivyo yaani hata kama mwanamke ni malaya ila nisimuone umalaya wake anakofanyia huwa nakuwa na amani ila nikiwaona live wanafanya umalaya huwa napata kichefuchefu fulani

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
40K per day, sawa na 1.2 M kwa mwezi, wastani wa 800K. Mshahara wa baadhi ya kada graduate. Hawa wanasomesha, kuhudumia mama zao, wanatuma hela vijijini. Ni sekta ya muhimu sana. Inahitaji kulindwa.
Tatizo la sekta hii ni kama footballers, kadri miaka inavyozidi kwenda muonekano wa kahaba huchuja na performance pia hupungua.
Ila wanapiga hela
 
Erection kwa wanaume hata ukiona picha tu, inaweza fanyika. Ila sasa kupanga foleni, huo ni ujasiri mwingine! Ambao wanaume tuna tofautiana kuwa nao.
Kuna siku tulilala Msamvu hapo Morogoro nikiwa naenda Dar, aisee nilishuhudia ukahaba wa hatari yaani binti anatoka tu room ashadakwa, kuna pisi moja ilikuwa kali ilikuwa haipumziki. Kibaya zaidi kipindi hicho madogo waliomaliza form six walikuwa wakienda JKT aisee kuna dogo alikula mabibti watatu tofauti ile njaa aliokuwa nayo ni noma.
 
Noma sana.
 
Ni hatari sana na wanaume wanaonunua wana roho ngumu na hawana kinyaa yaani unajua kabisa unaweza ukawa ni 13 hivi kwa siku hiyo na bado unaenda na wewe sehemu walipotoka wenzio
Hata mwanaume uliyenaye huwa tunapanga nae foleni kupata huduma japo yeye anakuficha ndipo hapo kauli yako ya wanaume tunaroho ngumu ndipo tafsiri ya kauli yako
 
Back
Top Bottom