mtega255
Senior Member
- Mar 3, 2019
- 131
- 75
Poah mkuu.
Poah mkuu.
Hahhaha...kaka ulijisahau. Ilitakiwa uji upgrade to ps3 na ps4Nishaifanyaga hii buzne long time.nilikua na ps2 tatu tu. Weekday nilikua naletewa 10,000 to 15,000. Weekend naletewaga 35,000 to 46,000. Changamoto ni pads watoto wanazivunja hasa game la baiskeli, god hand. ukiwa na hasira waweza mpiga mtoto kwenzi jinsi wanavyoharibu padi mbele yako. pads nzuri za mtumba zinauzwa kariakoo round about unaelekea mtaa wa kongo kidogo kushoto kuna chimbo la mambo ya ps.kuibiwa flash ni kawaida sana.
Nilikuja kuacha baada ya mzee mmoja alistaafu akachukua hela ya lidandasi akafungua ps kubwa mativii kibaao madogo wakanikimbia. Nikafunga nikauza ps zote kwa bei ya hasara.
Toka nje hzo. Ni used/refurbishedNi mpya kwa bei hiyo au used?!
Unataka mpya au used?Hivi ps 2 bado zipo siku hizi
Nazipata kwa mtumba na original Bei gani ?
Nataka nijue bei ya zote kabisa
Ps2 used upata kwa 120k-100k
Mbona kawaida, Kuna saa najiuliza mwenyewe Bei ya bidhaa dukani. Yaani natoka nje dukan namuita msaidizi wangu namuuliza mtego wa panya Bei gani afu naingia dukani kusubiri watejaKaka niko na hiyo biashara ni ngumu kwa baadhi ya maeneo. Kuna saa nacheza mimi na mkewangu.
PS ngapi uniuzieKaka niko na hiyo biashara ni ngumu kwa baadhi ya maeneo. Kuna saa nacheza mimi na mkewangu.
Unatumia Playstation ngapi mkuu na unahisi changamoto ni nini?Kaka niko na hiyo biashara ni ngumu kwa baadhi ya maeneo. Kuna saa nacheza mimi na mkewangu.
Hakuna biashara isiyo na changamoto. Weka changamoto zake tujue tunaepuka vipi!Kaka niko na hiyo biashara ni ngumu kwa baadhi ya maeneo. Kuna saa nacheza mimi na mkewangu.
Ahsante mkuuGTA (pamoja na magame yanayofanania kama Just cause), na Mpira Fifa/pes ndio magame pendwa,
Magame ambayo unasmash kama vile ya ngumi yanaharibu pad.
Nataka kuweka kwa ajili ya watotoPs 2 achana nayo mkuu haina radha siku hizi
Big up sana mkuuSikia.
*Ps4 chukua moja ni 650k. Chukua iliyochipiwa ndo inafaa kwa biashara.
*ps3 chukua 2 kwa 320k kwa kila moja.
*ps2 chukua 2 kwa 130k kwa kila moja.