Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Hakuna biashara isiyo na changamoto. Weka changamoto zake tujue tunaepuka vipi!
Changamoto
1) usimuweke mtu fanya mwenyewe , ukishindwa muweke ndugu unaye muamini
2) padi kuharibika mara kwa mara na kuangusha padi na hii ukiwa na wateja ambao ni watoto wa primary
3) umeme kukatika katika , hii kama una wateja wengi wa uhakika basi weka generator hauto jut a
4) serikali za mitaa na wazazi baadhi wasio na uelewa but kuna hawa TANZANIA VIDEO ASSOCIATION wanatoa cheti cha uanachama kwa elfu 20 maana waliiomba gaming board Tanzania ile wawaweke upande wao (Tanzania video association) maana hawa wana dili na watu wa vibanda vya computer vya kuban cd na kuingiza nyimbo, mabanda ya mpira nk , sasa sijajua kuwa official leseni za gaming stations tayari maana ili ujirinde na hao serikali za mitaa

Note ni biashara nzuri sna ukipata sehemu nzuri na ukiwa na wateja watu wa zima una fungua ps ya ki faza ps4 mbili tu una piga kazi mwanzo mwisho. Natumai nimekutoa tongo togo
 
Unataka kuniambia kwa PS4 mbili + location yenye mzunguko mzuri natoboa?

Why nisichanganye na PS3? Au ndio kwa kuwa PS4 ndio zinakwenda na wakati?

Nitegemee kiasi gani kwa siku?
 
Sikia mkuu ps4 mbili kama una location nzuri una piga hela ila kama unauwezo syo mbaya weka 3 , ps3 usiweke labda ukiwa una mtaji mdogo, note : ps4 mechi ni 500 tena bila ya extra time, ukiwa una wateja watu wazima utapeta sna , huanzia15k_ 25 per day depend on your location and customers
 
Unataka kuniambia kwa PS4 mbili + location yenye mzunguko mzuri natoboa?

Why nisichanganye na PS3? Au ndio kwa kuwa PS4 ndio zinakwenda na wakati?

Nitegemee kiasi gani kwa siku?
Ps3 bei yake ni 400 kwa mechi na kuna maeneo ni 300 ila ps4 nowdys inapendwa na washkaji kibao sna so kama uko vizur dili na ps4 weka sofa , carpet zuri na 3d graphic ukutani yaaani hapo ushawaloga tv chukua 32 nch
 
skia mkuu ps4 mbili kama una location nzuri una piga hela ila kama unauwezo syo mbaya weka 3 , ps3 usiweke labda ukiwa una mtaji mdogo, note : ps4 mechi ni 500 tena bila ya extra time, ukiwa una wateja watu wazima utapeta sna , huanzia15k_ 25 per day depend on your location and customers
Tayari zimepatikana PS4 mbili, changamoto ni location ya pesa tu!
 
ps3 bei yake ni 400 kwa mechi na kuna maeneo ni 300 ila ps4 nowdys inapendwa na washkaji kibao sna so kama uko vizur dili na ps4 weka sofa , carpet zuri na 3d graphic ukutani yaaani hapo ushawaloga tv chukua 32 nch
Sofa gharama sana mkuu.. labda hizo wallpapers za kuwavutia.
 
unaweza uka fanya research maeneo yaliyo changamka karibu na chuo au hostel iliyo changamka kwa dar , vijana wengi wa chuo wajua ku cheza game
Kwa maeneo ya chuo ni safi sana ila shida ni kodi zake nahisi zitakua juu..

Vipi kimtaa mtaa, biashara ipo?
 
Ipo ila upate frem barabarani
Kwa barabarani ni sawa lakini tafiti nilizofanya inaonyesha wapenzi wa michezo hii wanapenda faragha kidogo.. so wanaprefer maeneo ya ndani ndani kidogo ya mitaa iliyochangamka.

Kwa sababu kuna ile stigma ambayo baada ya wapenzi wa huu mchezo wanafeel, hasa watu wazima wanapoonekana kwenye sehemu hizo.

Naamini maeneo hayo ya kitaani kwa kuanzia na kulingana na mtaji uliopo yanaweza kuwa poa. Ukizingatia huko pia ndio nitaweza kuwapata watoto kiurahisi zaidi.

Nafkiri lengo ni kufikia huko kwenye location za barabarani ambapo kutakuwa na maboresho mengi ukizingatia mtaji nao utakuwa tayari umeshapanda hivyo nitaweza kuhimili bei za mas0fa, mazulia n.k.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mm nafanya hiyo biashara, nipo mtaani MABIBO.
 
Frem ikiwa ndani sna una walenga sna watoto na kwa ps4 watacheza ila kuwa makinI kwa kijana kutumia elfu 5 kwa looser game sio ishu tena hata kupandiana ila kwa watoto range yao hai kubwa
 
Pia wana haribu sna padi
 
Back
Top Bottom