Biashara ya bembea, faida na changamoto zake

rude Boi

JF-Expert Member
Jul 28, 2021
318
552
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muumba.

Ninaomba kujua juu ya biashara ya bembea za kisasa, mtaji wake, faida na changamoto zake.
 
Za kimakanika au za kutumia umeme,,
Je ,umelenga kusema bembea kama bembea au bembea yako imewakilisha michezo ya watoto kwa ujumla?
 
Ninamaanisha bembea za umeme ambazo watoto wanapanda zinawazungusha na nyingine wanaslide.Watoto wanalipa kiingilio.
 
Changamoto ya kwanza ni uhakika wa umeme, nadhani unajua tupo kwenye kipindi cha mgao kisichokuwa na mwisho.
 
Back
Top Bottom