Biashara haramu zina hela nyingi sana.

Biashara haramu zina hela nyingi sana.

Jana nilisoma mahali kwamba kwenye biashara ya viungo vya binadamu, viungo pamoja na fluids zote zinazopatikana kwenye mwili wa mtu kwa pamoja vina thamani ya $45M sawa na Tsh 119,095,200,000/
Kwamba hivyo viungo Wana vuna nini hadi view na thamani Yote hii? Bidhaa hii sio adimu kiasi Hicho wakati kila kona ya dunia kuna vita na bidhaa hii iko nje nje
 
Ushajiuliuza mwenye X Videos, PornHub, Onlyfans, Brazziers... anaingiza sh ngap?

Cha kusikitisha wooote tunazijua hakuna mtumishi wa kusema ndio nn hizo?? Pia haramu kidini ila kidunia 18+ tu
 
Back
Top Bottom