Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,234
- 129,283
Kila mtu anammezea mate mwenzake š„kmmke, ukute nae anasema mwanangu yuko hapa yupo yupo tunš¤£
Kila mtu anammezea mate mwenzake š„kmmke, ukute nae anasema mwanangu yuko hapa yupo yupo tunš¤£
Dhambi kivipi?kuna hii biashara sio haramu ila ni ya kificho
hii ukifanya unapata hela nyingi sana
sema mimi naona kama dhambi hivi sielew
ya "sex toys"
Bc atakayemuwah mwenzake ndie mshindi šUkute na yeye anakutageti
Nipe mtaji, mm niifanye then ww utakuwa regulator wa pesa zote šhuwezi amini sikuona hii coment ila chini nikakoment sex toys
hii biashara ina hela sana
kwa tafiti nilizofanyaš¤£
Hakuna dhambi yoyote kama unaweza we ifanye hiikuna hii biashara sio haramu ila ni ya kificho
hii ukifanya unapata hela nyingi sana
sema mimi naona kama dhambi hivi sielew
ya "sex toys"
š Hapo umepatia, hizi biashara haramu zinaonekana kama zina hela ndefu sana. Tatizo ni kwamba nyuma ya hiyo hela kuna risk kubwa sanaājela, kupoteza mali, usalama wa maisha na hata kuumiza watu wasio na hatia. Bora hela iwe ndogo lakini ya halali na mtu alale kwa amani. šmadawa ya kulevya...Bangi,unga
Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama,
uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi,
Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni kwenda kuwauza,
Kuforge bidhaa fake kama pombe kali, electronics devices...nk
Hapo hela imelala ya kutosha
Unamchokoza jamaa?Hakika
Kama hawa jamaa wenye connection ya kuuza milupo wenye makebo makubwa kwa wadosi.
Au wauza vibrators na sex toys kama ice breaker kwa ajili ya kuchezea jagina hadi ziteme hydroxo
Ajali kazini jomba ššna wenye roho ngumu tu ndo wanaweza hizi mamboš Hapo umepatia, hizi biashara haramu zinaonekana kama zina hela ndefu sana. Tatizo ni kwamba nyuma ya hiyo hela kuna risk kubwa sanaājela, kupoteza mali, usalama wa maisha na hata kuumiza watu wasio na hatia. Bora hela iwe ndogo lakini ya halali na mtu alale kwa amani. š
Human trafficking,ila hiyo ya kusafirisha binadamu ni nomer sasa. na kwq hii miaka ipo sana zaidi ya tunavyodhania, mbaya zaidi yaani msafirishwaji anajisafirisha mwenyewe! yaani bidhaa inajipandisha ndege yenyewe kwenda kutekwa! wala usije fikiri eti mtu kafungwa pingu au makamba anasafirishwa, Noo Binti mzuri mwenye Makebo anajipeleka mwenyewe!
ila Warussi ndio wametoa mpya kusafirisha Waafrica kuwapeleka kwenye vita yao! ingawa hili Taifa ni baba yetu kwenye mambo ya Ujamaa kusema kweli ni Lijitu hatari sana nadhani hata Shetani anasubiri, Mi mwenyewe nashukuru Mungu Russia hatupakani naye kwenye mpaka wowote, nawaonea huruma sana Wakoloni wetu sijui walikosa nini kuwekewa Lijinamizi kama Russia uwani mwao.
Tunapataje Kazi kwenye hizi Industry?madawa ya kulevya...Bangi,unga
Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama,
uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi,
Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni kwenda kuwauza,
Kuforge bidhaa fake kama pombe kali, electronics devices...nk
Hapo hela imelala ya kutosha
Usipokuwa bandidu huweziš Hapo umepatia, hizi biashara haramu zinaonekana kama zina hela ndefu sana. Tatizo ni kwamba nyuma ya hiyo hela kuna risk kubwa sanaājela, kupoteza mali, usalama wa maisha na hata kuumiza watu wasio na hatia. Bora hela iwe ndogo lakini ya halali na mtu alale kwa amani. š
šš Kweli jomba, hizi mambo zinahitaji moyo wa chuma. Ila ukiteleza kidogo tu, hiyo āhela nyingiā inageuka kuwa gharama kubwa kuliko ulivyotarajia šAjali kazini jomba ššna wenye roho ngumu tu ndo wanaweza hizi mambo