PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,533
- 3,776
Kwani hii ya sex toys na vibrators pia ni haramu? Au shida ni kupata clients?huwezi amini sikuona hii coment ila chini nikakoment sex toys
hii biashara ina hela sana
kwa tafiti nilizofanya🤣
Kwani hii ya sex toys na vibrators pia ni haramu? Au shida ni kupata clients?huwezi amini sikuona hii coment ila chini nikakoment sex toys
hii biashara ina hela sana
kwa tafiti nilizofanya🤣
😂😂 Bandidu kweli, maana huku hakuna nafasi ya kujifanya mjanja. Ukikosea hesabu moja tu, mambo yanageuka ghafla.Usipokuwa bandidu huwezi
🤣🤣Niunganishe na wanaotaka viungo vya binadamu, mzee wangu yupo yupo tuu hapa hana ishu.
Inahitajika akili kubwa na uwanganga uwepoyeaH ukikosea steps ni hatari
Kila biashara kwa kusikia Tu utaona ina hel sana, ingia sasa mchezoni uonehuwezi amini sikuona hii coment ila chini nikakoment sex toys
hii biashara ina hela sana
kwa tafiti nilizofanya🤣
IndeeD!Everything has a Price to pay
biashara hiyo ina helaKila biashara kwa kusikia Tu utaona ina hel sana, ingia sasa mchezoni uone
viwe healthly lakiniJana nilisoma mahali kwamba kwenye biashara ya viungo vya binadamu, viungo pamoja na fluids zote zinazopatikana kwenye mwili wa mtu kwa pamoja vina thamani ya $45M sawa na Tsh 119,095,200,000/
Myloveshida ni kubambwa
kipenziMylove
nakazia inahela mnoooo virose na vi vibrator ni dealhuwezi amini sikuona hii coment ila chini nikakoment sex toys
hii biashara ina hela sana
kwa tafiti nilizofanya🤣
uzuri wa pesa sasa utajiamboa nafanya nikipata naacha 🤣🤣ukipata unasema ngoja nifanye ya mwishoDeal Moja 500m