Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Acha kufananisha,betting na vitu vya ajabu ajabu
 
Me nnachoona mafanikio yapo kwenye kufanya kitu kwa consistency, kuwekeza muda mwingi kuongeza maarifa na kujitahidi kuwa na taarifa nyingi za hiyo biashara husika
Mfano kama umeanza kufanya biashara ya hardware katika retail level hakikisha kadri siku zinavoenda unazidi kufahamu machimbo ya bei rahisi zaidi, endelea kutengeneza network, endelea kujitangaza kwa nguvu zote
Baada ya muda utayaona mafanikio
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Hivi unajua ukikaa vizuri na mama yako anaweza kukutajia baba yako wa ukweli, ambaye usishangae ni anafanya machinga, bodaboda, kuuza chips au betting na usishangae ana maisha bora kuliko huyo baba yako wa uongo unayedhani ni baba yako.
Kijana ukae ukijua hayo makundi uliyotaja yana maisha mazuri kuliko hata wafanyazi wa serikali, pamoja na wewe ambaye upo nyumban huna kazi.
 
Sijacheka tangu asbh kmmk😂
 
Enzi hizo hakuna whatsapp sauti tamu ilikosea namba nikapokea simu wacha nisafiri mbali kuja kuonana na stranger mbona nilijuta ? 🤣
Ukakutana na kina sie🤣
38E2E0A1-FD75-4C59-AF95-58913184D892.jpeg
hukuzima simu kweli?🤣
 
Ukakutana na kina sie🤣View attachment 3624337hukuzima simu kweli?🤣
Aweeee 🤣🤣🤣
Pisi ilikuwa na sauti tamu balaa halafu ni mtoto wa tajiri wa mabasi fulani nikasema hili ni zali la mentali. Nilitupia balaa nikanunua na perfume ya 1 milioni. Meeting point iikuwa Ubungo Plaza pale. Blue pearl Hotel. Kuonana na pisi kwanza nilitetemeka ilivyo ya ajabu, mweusi tiii, pimples mpaka zina usaha ina maana hata cleanser haijui au kufanya facial hajui na alikuwa amevaa gauni la red made 😄 pozi ziliisha aisee
 
Back
Top Bottom