Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,752
- 3,146
nimependa ulivyopenda alivyopenda comment yakeNimependa ulivyopenda comment yake
nimependa ulivyopenda alivyopenda comment yakeNimependa ulivyopenda comment yake
Hakuna biashara ambayo huwezi kutoboa na hakuna biashara ambayo ukiifanya lazima utoboe ila inategemea unaifanya kwa staili gani.Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Genge lina hela mkuu na faida zake ni kubwa kuliko duka la mangi ila watu wengi hawajui hii siri.Umesahau biashara ya genge na pombe za kienyeji!
Na zenyewe hadi utoboe, kazi ipo.
Kama unakomaa komaa kwa kuboresha na kupanua.Wengine ndo wanakomaa nazo mwazo mwisho mpaka jua linazama
Ile aliifanya kikampuni na branding…..ila kwa maisha ya kawaida ya uchuuzi ni ngumuHakuna biashara ambayo huwezi kutoboa na hakuna biashara ambayo ukiifanya lazima utoboe ila inategemea unaifanya kwa staili gani.
Diamond Platinum ni milionea na alianzisha biashara ya kuuza karanga.
Na kubet sio biashara ni mchezo wa bahati nasibu.
Huwezi kupinga namna hiyo
7.Biashara ya kujiuza Kwa wadada!Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Kutoboa ndio kuwaje, nijitathmini kama sijakujibu.Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Hapana mkuu kila biashara inahitaji ubunifu ili utoboe.Ile aliifanya kikampuni na branding…..ila kwa maisha ya kawaida ya uchuuzi ni ngumu
ubunifu kwa mfano unaweza kubuni nini kwenye biashara ya magari?Hapana mkuu kila biashara inahitaji ubunifu ili utoboe.
Hata ukianzisha biashara ya kuuza magari kama huna ubunifu utapiga miayo tu
ubunifu ni jinsi unavyoitangaza biashara yako,jinsi unavyoongea na wateja ili kuwahamasisha waje kununua kwakoubunifu kwa mfano unaweza kubuni nini kwenye biashara ya magari?
Bodaboda itoe hapo, ushuhuda ni mwingi sana kwa waliotoboa kwa bodaboda.Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Duh, labda kuna magendo mengine nje ya bodabodaBodaboda itoe hapo, ushuhuda ni mwingi sana kwa waliotoboa kwa bodaboda.
Mtu alianza na boda ya kipande, akanunua yake, baada ya muda akawa nazo za kwake kadhaa na sasa anamiliki min-busy la abiria
Hapo toa nyumba na biashara nyingine kadhaa ambazo zote zimetokana na bodaboda
Sent using Jamii Forums mobile app