Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Aweeee 🤣🤣🤣
Pisi ilikuwa na sauti tamu balaa halafu ni mtoto wa tajiri wa mabasi fulani nikasema hili ni zali la mentali. Nilitupia balaa nikanunua na perfume ya 1 milioni. Meeting point iikuwa Ubungo Plaza pale. Blue pearl Hotel. Kuonana na pisi kwanza nilitetemeka ilivyo ya ajabu, mweusi tiii, pimples mpaka zina usaha ina maana hata cleanser haijui au kufanya facial hajui na alikuwa amevaa gauni la red made 😄 pozi ziliisha aisee
Uwii acha niendelee kujificha hivihivi kama mambo yenyewe ndio haya🤣
Lakini mkuu miaka hiyo watu wengi walikuwa natural, hawana cha skin care wala nini! Dah leo umejua kunichekesha🤣🤣
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Wew unafanya ipi kati ya hizo ili kujipatia ya kula na ipi unaifanya na imekutoboresha au itakutoboresha Click here to get the latest mixtape🔥
 
Huwa nakereka sana. Mtu biashara ndo inaanza kuchangamka anakimbilia kuoa au kununua kiwanja badala ya kuikuza biashara kwanza. Tatizo pia mtu akishaanza kupata vijisenti washauri nao wanakuwa wengi na kumpa presha za kufanya mambo mengine.
Daa !! kama unanisema Mimi vile ,, ila okay ,, ipo hivi kwa upande wangu nilipoona biashara imechangamka sana ,, niliona siyo mbaya nikaanza hata kajiujenzi taratibu maana huwezi jua ya mbeleni .. nikajisema moyoni bora hata nianzishe pagala ili kesho hata mambo yakienda mlama basi nitakuwa hata nikijisehemu ambacho kitakuwa kama kumbukumbu kipindi biashara yangu ikiwa kwenye prime ..

Na ndiyo kilichokuja kutokea. Kwasasa biashara imeanguka ila Kila nikiangalia pagala langu nafarijika kuwa at least I did something ..

Hivyo hii mitazamo ndiyo hupelekea wengi tuwe tunafanya hivyo ila siyo kama tunapenda .. unajua hamna kitu kina uma kama maneno ya watu ,, pindi watu watakapo kuwa wanasema " huyu jamaa alikuwa mfanyabiashara mkubwa vibaya mno lakini mpumbuvu huyu hakukumbuka kujenga hata kiti .. "
 
Safari ya mafanikio ni mjumuiko wa mambo madogo madogo mengi sana. Mtu anaweza kuanzia kwenye chips akajiongeza na kukuza biashara yake ikakua. Cha muhimu ni nidhamu kwa kile kidogo unachopata. Tatizo mtu akianza kuuza chips labda za 30k kwa siku ataoa, atataka kununua plot na kuanza ujenzi. Mwishowe anaanguka auS kuwa mtumwa wa milele wa hizo chips.
Sasa asioe kwnn aendelee kuzini
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Duh!! Sio kweli mkuu zinalipa sana hizo na hukimbizani na serikali mambo ya kodi.

Pili, kutoboa ni ndoto aliyonayo mtu mwenyewe. Wengine wanatoboa kwa kuanza kuku mmoja tu
 
Daa !! kama unanisema Mimi vile ,, ila okay ,, ipo hivi kwa upande wangu nilipoona biashara imechangamka sana ,, niliona siyo mbaya nikaanza hata kajiujenzi taratibu maana huwezi jua ya mbeleni .. nikajisema moyoni bora hata nianzishe pagala ili kesho hata mambo yakienda mlama basi nitakuwa hata nikijisehemu ambacho kitakuwa kama kumbukumbu kipindi biashara yangu ikiwa kwenye prime ..

Na ndiyo kilichokuja kutokea. Kwasasa biashara imeanguka ila Kila nikiangalia pagala langu nafarijika kuwa at least I did something ..

Hivyo hii mitazamo ndiyo hupelekea wengi tuwe tunafanya hivyo ila siyo kama tunapenda .. unajua hamna kitu kina uma kama maneno ya watu ,, pindi watu watakapo kuwa wanasema " huyu jamaa alikuwa mfanyabiashara mkubwa vibaya mno lakini mpumbuvu huyu hakukumbuka kujenga hata kiti .. "
Pole sana mkuu. Kiukweli biashara huwa haitabiriki kabisa. Yaani unaweza fanya kila kitu kinachotakiwa kufanyika na mfanyabiashara ila bado ukaanguka na kutumika kama mfano kwa wengine. Mimi ninakupongeza kwa kuukubali ukweli kuwa biashara imeanguka. Kuna wengine kwa sasa wana hizo pagala ambazo karibia zinapigwa bei na wakopeshaji. Wakati wewe ulikubali ukweli kuna wenzako walijipa moyo na kukopa ili kuokoa biashara.
 
Strangers noma halafu at that time ujana aisee nilikuwa kwenye 22 au 23 hivi nilikuwa naelewa basiiii 🤣🤣🤣🤣 halafu nilikuwa na crush la kizungu kipindi hiko sema wenge la sauti tu
Dahh kwanza hujanimalizia story! Ulimwambiaje huyo aliyekudatisha kwa sauti tu😂 kama mlikutania lodge kazi ipo😂, crush wako mzungu ukamuacha kwa muda sio😎
 
Back
Top Bottom