Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Hizi dharau mkuu tunategemeana halafu kumbuka jeneza halina mifuko hata kama utakuwa unafanya biashara ya siasa hautazikwa na pesa zako 😅

Be humble, duniani tunapita
 
Back
Top Bottom