Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Dahh kwanza hujanimalizia story! Ulimwambiaje huyo aliyekudatisha kwa sauti tu😂 kama mlikuatania lodge kazi ipo😂, crush wako mzungu ukamuacha kwa muda sio😎
Pale Blue Pearl Hotel palikuwa na sehemu ya kukaa mnaweza mkaagiza Soda/Juice/Cocktail mnapiga stories tu kawaida palikuwa ni open space. Hatukukutana Lodge kumbuka nimesafiri hapo sababu ya sauti tu 🤣🤣🤣 nilijiona bonge la fala. Tulipiga story tu na akawa amejaa kwenye mfumo lakini mimi hata mzuka sina. Nilimpanga jamaa nipigie halafu sema nahitajika haraka kuna mambo inatakiwa yafanyike. Tulivyoachana tu akala tofali.
 
Dah ulimtenda vibaya! Hapo alijiuliza maswali mengi nina kasoro gani mimi huku analia ila men🙌🏾😂 aisee katika mistake sitokaa nikafanya ni kuadmire mwandiko au sauti ya mtu tu! Mambo ni mengi mno😅
 
Dah ulimtenda vibaya! Hapo alijiuliza maswali mengi nina kasoro gani mimi huku analia ila men🙌🏾😂 aisee katika mistake sitokaa nikafanya ni kuadmire mwandiko au saiti ya mtu tu! Mambo ni mengi mno😅
Kimsingi sikumfanyia fair kwa kweli, nilikuwa bado sina ukomavu wa akili na sikuheshimu hisia zake. Wenge langu tu na mimi aisee. Sema hata sasa hivi kumtamani mtu kwa sababu ya kumuona kwenye picha nayo imekuwa mbaya pia. Ai na hizi filters ndio zinaharibu kabisaaa
 
Kabisa! bora umuone kwenye video call au mkutane live, sema siku hizi wanaume wamekuwa wajanja wanaomba picha haina filter😅
 
Dah ulimtenda vibaya! Hapo alijiuliza maswali mengi nina kasoro gani mimi huku analia ila men🙌🏾😂 aisee katika mistake sitokaa nikafanya ni kuadmire mwandiko au sauti ya mtu tu! Mambo ni mengi mno😅
Pisi ilikuwa haijui hata kuosha reception? 🤣 halafu familia ya kitajiri haswaa mpaka sasa naona haya mabasi yapo tena mengi mnoo. Lakini Mimi roho yangu ni Sultan aisee, nimeamua kuanza from the scratch sitaki ladder
 
😂😂😂😂 kujiamini kumepotea hiki kizazi cha sasa.
Mikeka inachanika sana, people expect too much! Mtu anaagiza tu online, halafu editings kibao! Kwahiyo kuepusha usumbufu bora akuone tu live ndio anaanza kukukadiria kama utafit ama vipi😂
 
Pisi ilikuwa haijui hata kuosha reception? 🤣 halafu familia ya kitajiri haswaa mpaka sasa naona haya mabasi yapo tena mengi mnoo. Lakini Mimi roho yangu ni Sultan aisee, nimeamua kuanza from the scratch sitaki ladder
Ungemfundisha tu mkuu, kuna mwingine unakuta hajui afanye nini! Inatokea tu🥲
 
Hahaha nilikuwa na crush la kizungu na tuliendana kweli. Sasa huyu aisee hapana maana . Mimi mwili wangu kama Kaka Maxence Melo yeye alikuwa Manyama Uzembe mbona picha hazikuendana kabisa ?
 
Mikeka inachanika sana, people expect too much! Mtu anaagiza tu online, halafu editings kibao! Kwahiyo kuepusha usumbufu bora akuone tu live ndio anaanza kukukadiria kama utafit ama vipi😂
Aisee muonekano hauna maana yoyote kama kichwani hauna fikra.

Mtazamo wangu tu huo.
 
Hahaha nilikuwa na crush la kizungu na tuliendana kweli. Sasa huyu aisee hapana maana . Mimi mwili wangu kama Kaka Maxence Melo yeye alikuwa Manyama Uzembe mbona picha hazikuendana kabisa ?
Duhh kwakweli mambo ya online ni kasheshe! Mimi naona bora ukutane na mtu live muyajenge ila hawa wa mitandaoni mambo ni mengi sana!
 
Aisee muonekano hauna maana yoyote kama kichwani hauna fikra.

Mtazamo wangu tu huo.
Mmeanza lini kuangalia kichwani🤔

Mimi najua kwa watu wengi physical appearance matters the most! Ndiomaana mwingine akikuona tu hapohapo anaona huyu atanifaa\hanifai! Kumbe ni huwa mnaangalia na fikra🤭
 
Duhh kwakweli mambo ya online ni kasheshe! Mimi naona bora ukutane na mtu live muyajenge ila hawa wa mitandaoni mambo ni mengi sana!
Yaani we Acha tu haya mambo ya Mitandaoni unakiona kimodo amazing sasa onana naye live yule Betina wa kwenye gazeti la Sani mnene hayo mambo kwangu sitaki kabisa
 
Mmeanza lini kuangalia kichwani🤔

Mimi najua kwa watu wengi physical appearance matters the most! Ndiomaana mwingine akikuona tu hapohapo anaona huyu atanifaa\hanifai! Kumbe ni huwa mnaangalia na fikra🤭
Aisee mimi fikra lwanza muonekano hubadirika lakini fikra nzuri huendelea kupevuka na kuboresheka.
 
Yaani we Acha tu haya mambo ya Mitandaoni unakiona kimono amazing sasa onana naye live yule Betina wa kwenye gazeti la Sani mnene hayo mambo kwangu sitaki kabisa
Pole sana😂
Uzuri si haukurudia kosa!
 
Aisee mimi fikra lwanza muonekano hubadirika lakini fikra nzuri huendelea kupevuka na kuboresheka.
Unajua na unajua tena! Wengi hawawazi kwa sababu hawana malengo wala matumizi na huyo mtu wanayekutana naye apart form mambo ya ngono then aku dump kule!
 
Back
Top Bottom