Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Miaka 16 iliyopita huko 🤣
Nasema hii teknolojia inaharibu sana uhalisia na inadhulumu matarajio. Kile unachokiona kwenye picha na kile halisi lazima uvurugike aisee
Uzuri ukweli umeshaujua kwahivyo ni kuongeza umakini tu, miaka 16 ni mingi wengine tulikuwa shule, means technology ilikuwa nyuma kidogo tofauti na sasa!
 
D

Dharau Gani Chief
Huwezi kudhaau hizo biashara Mkuu, nimegundua kila kitu kina umuhimu wake aisee nakumbuka nilikuwa maeneo fulani nikawa nahangaika kutafuta huduma ya mobile money tena ni hapa hapa jijini lakini ukikuta kibanda cha huduma za kifedha unaweza ukapita na ukapuuza tu subiri siku uwe na uhitaji
 
Mfano mtu anauza Vocha na kuchoma mahindi ni lini ataendesha ata IST? Tusijipe matumaini hewa
 
Waha wanatajirika kwa kutembeza vyombo na kuuza madafu, kikubwa ni nidhamu ya pesa, mfano biashara ya chips watu wengi sana wamejenga majumba na kusomesha watoto (kawaulize wapemba)
 
Mbona hizo boda boda vijana wa bolt kwa siku take home ni kuanzia hamsini kila siku....sasa kipato hicho una shindwaje kuweka malengo na "kutoboa"....!?
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya IST utakuwa umechoka sana!
8; Speculation kwenye hisa kwa pesa ya kuungaunga etc(Hapa wengi sana wamepigwa za uso)

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!

NB; Kutoboa maana yake ni kuwa na levo ya maisha standard ie kula chakula kizuri, kuishi sehemu nzuri, kusomesha watoto shule nzuri, usafiri wa kukufikisha sehemu moja na nyingine, kuweza kumudu shida mbalimbali bila kulialia.
Ulizotaja hapo hakuna hata biashara moja.
Ila bodaboda wanakula Sana wake zenu.
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya IST utakuwa umechoka sana!
8; Speculation kwenye hisa kwa pesa ya kuungaunga etc(Hapa wengi sana wamepigwa za uso)

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!

NB; Kutoboa maana yake ni kuwa na levo ya maisha standard ie kula chakula kizuri, kuishi sehemu nzuri, kusomesha watoto shule nzuri, usafiri wa kukufikisha sehemu moja na nyingine, kuweza kumudu shida mbalimbali bila kulialia.
Asikudanganye mtu.....wengi nimeshuhudia wameanzia hapo na leo ni matajiri wakubwa sana....
 
Back
Top Bottom