Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Safari ya mafanikio ni mjumuiko wa mambo madogo madogo mengi sana. Mtu anaweza kuanzia kwenye chips akajiongeza na kukuza biashara yake ikakua. Cha muhimu ni nidhamu kwa kile kidogo unachopata. Tatizo mtu akianza kuuza chips labda za 30k kwa siku ataoa, atataka kununua plot na kuanza ujenzi. Mwishowe anaanguka au kuwa mtumwa wa milele wa hizo chips.

Umeongea kitu cha msingi sana,
Mtu mtaji wake laki 4 ila mahari milioni tatu harusi sijui 7M.

ila kukuza mtaji sio shida zake.
 
Umeongea kitu cha msingi sana,
Mtu mtaji wake laki 4 ila mahari milioni tatu harusi sijui 7M.

ila kukuza mtaji sio shida zake.
Huwa nakereka sana. Mtu biashara ndo inaanza kuchangamka anakimbilia kuoa au kununua kiwanja badala ya kuikuza biashara kwanza. Tatizo pia mtu akishaanza kupata vijisenti washauri nao wanakuwa wengi na kumpa presha za kufanya mambo mengine.
 
Back
Top Bottom