ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,702
- 3,553
magemu ya kivita siyapendi ila nataka nitesti hiyo call of duty mana naona linapendwa mno
mkuu nieleweshe nampataje huyo samattaKwa Wapenzi wa Pes samatta yu ndani pes 17 ukiwa na patch 5.1
GTA V Free Download hii hapa mkuuWebsite ipi inapatikana kaka.. naitafuta sana
hii cpu na gpu ni ndogo sana mkuu, games nyingi hazitacheza.Hp
Windows 10pr
RAM 4GB
processor AMD E1-2100 APU with Radeon (TM) HD graphics 1.00GHz
mkuu call of duty yapo mengi sana, nakushauri anza na call of duty black ops 2magemu ya kivita siyapendi ila nataka nitesti hiyo call of duty mana naona linapendwa mno
Solushenii apo ni ipii mzeehii cpu na gpu ni ndogo sana mkuu, games nyingi hazitacheza.
Mapenzi tu halafu kumbuka sisi wabongo kununua vitu ni wazito. Mi naona kawaida tu ila game ya fifa haijanishawishi hata kidogoPes shida nyingi mpaka uweke mapatch sisi wa fifa tunaenjoy hamna kuweweka mapatch
Ingia google andika pes 17 patch 5.1 del choc. Del choc ameweka na video ya maelekezomkuu nieleweshe nampataje huyo samatta
Uwanja wa ndege? Level ya ngapi? Au unazungumzia pale airbase kwenye level ya 3? Kama ndo hivyo, medi pack utaipata kule kwenye selo za wafungwa unapomtafuta Priboi ambaye hutampata maana kahamishwa gereza kwahiyo itabidi uibe ndege moja ya kijeshi utoroke utamkuta mbele ya safari akisafirishwa kwa train.tatizo blood pale inaisha haraka alafu kuipata ni shida
Natafuta IGI 3 mkuu, nitapataje?nimemaliza igi 1-3 zote
Oceanofgames.com, ovagames.com,fullypcgames.nettusaidieni hizo link za ma game bhas
Mi ninalo nilidownload oceanofgames.com lina mb kama 300 tu.Natafuta IGI 3 mkuu, nitapataje?
So heathy inaongezeka vipi.Uwanja wa ndege? Level ya ngapi? Au unazungumzia pale airbase kwenye level ya 3? Kama ndo hivyo, medi pack utaipata kule kwenye selo za wafungwa unapomtafuta Priboi ambaye hutampata maana kahamishwa gereza kwahiyo itabidi uibe ndege moja ya kijeshi utoroke utamkuta mbele ya safari akisafirishwa kwa train.
Ukimaliza IGI 1 tafuta IGI 2 tu ambaye humo Jones hana msaada wa Medi Pack.
Wewe pes yako data version yake ni ipi.Ingia google andika pes 17 patch 5.1 del choc. Del choc ameweka na video ya maelekezo
Hili ni target au unamuona mtu mzima.mkuu call of duty yapo mengi sana, nakushauri anza na call of duty black ops 2
tafuta magame ya kizamani yanayokubali cpu kama pentium 4 yatakubali.Solushenii apo ni ipii mzee
Niliachaga pale unapofika kwenye mashindano halafu engine inazima. Kila nikiendesha Engine inazima, nikaamua bora niache tu.Aiseee....most wanted NSD....BALAAA